Hii nayo ni mpya kwangu!

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,663
13,488
Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
 
Nimeangalia pia alivyoitikia salamu ya kijeshi nikabaki najiuliza kumbe hiyo nayo inaruhusiwa!
 
Hii imenivutia
Screenshot_2018-08-04-15-01-37.jpg
 
Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
Ungesema ni yupi ili tujue cha kumjadili tatizo umetuacha njia panda hujasema ni yupi kati ya hao
 
sasa hivi kuteuliwa ukuu wa mkoa au wilaya ni sawa na jinsi kabaka mutesa alivyokua anaoa kila koo apate mwakilishi kwenye sehemu husika
 
Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
umesahau kuwa nimchepuko " WA stone cold"..
 
Back
Top Bottom