MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
Habari wadau humu ndani juzi kati katika pita pita zangu humu niliona uzi ukisema tbc kufungwa mitambo mipya vipi mwenye mrejesho wowote ule kuna kilichobadilika?....Tbc ukweli na uhakika
Nawasilisha
Nawasilisha