Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Hii hali ya wafanyabiashara ndogondogo (machinga) jijini maeneo ya karikoo na viunga vyake kwa kweli sasa hivi imekuwa kero kwa wengine, hasa watembea kwa miguu hawana pa kupita...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika brand ya viatu zilizosumbua sana hapo awali hii brand ya TAIMA ilitikisa sana, kuanzia Mashuleni, Maofisini (hasa ukienda kusaka Ajira bila kuvaa Taima, basi una hatihati ya kuikosa...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Ogopa kitu unafanya ujinga kinakuripoti, unakasirika na kwenda kufanya fujo kwenye ofisi zao bado wanaripoti hilo tukio lako la kufanya fujo...unaamua kwenda mahakamani bado wanarepoti kuwa...
1 Reactions
6 Replies
902 Views
hope mko poa wana jf kuna swala flani nimejaribu kujiuliza linasababishwa ni kitu gani nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja ikabdi nilete hapa ili na mimi niweze kujua zaidi. Ipo hivi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimu wote humu jamvini tangu jana nahangaika polisi Ilikuwa ni mchana mida ya saa 2 mchana nikiwa natokea mjini kuelekea Nyakato na kama mnavyojua nyerere road kuanzia esso na sinai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natumai mu wazima, Jamani ni angalizo tu ningependa kuwakumbusha hasa kwa wanaume maana sisi hatutembei na mikoba. Kwa wanaotumia wallet watakua salama kidogo kwa hili ila binafs situmii...
16 Reactions
29 Replies
4K Views
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAENDELEA KUSISITIZA USHIRIKIANO NA ASASI ZA KIRAIA NCHINI KATIKA UTETEZI WA KISERA WA MASUALA YA WANANCHI* 26 Oktoba 2018 Katika Mkutano wa wiki ya Asasi za kiraia...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Watoto wengi umtukuza Nyerere kama Yesu hasa huko shuleni, Nimekumbuka machache 1. Wakati wa Vita wanajeshi wa Uganda walifyatua risasi impige Nyerere Kapteni Mayunga akamlamba ngwala Nyerere...
23 Reactions
90 Replies
11K Views
Mheshimiwa, Kila wakati ukienda kuulizia juu ya fao la mkopo wa elimu kwenye mfuko wa PSPF jibu unalopewa ni kwamba muongozo haujatoka. Ni mwezi wa pili sasa hata wafanyakazi nao hawajui majibu ya...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine. Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali. Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali ya umeme kukatika katika ktk manispaa ya Songea imepelekea mgonjwa aliyepata ajali ya pikipiki usiku saa 8 kushindwa kutibiwa hadi hapo umeme utakaporudi. Mgonjwa huyo alikuja ktk hospitaLi...
6 Reactions
61 Replies
8K Views
Unakuta unatoa sh 500,000 kwenye Mpesa wanakukata 6,399 (1%). Hii ni ghali sana. Nimeshangaa sana kuhamisha tu hela toka account yako kwenda account ya simu yako iwe ghali hivyo? Halafu kuingia...
2 Reactions
13 Replies
14K Views
Utekwaji wa MO ulifanywa katikati ya habari iliyotikisa dunia ya mauaji wa mwandishi wa habari Khashoggi ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki. Mataifa makubwa na vyombo vikuu vya habari...
0 Reactions
4 Replies
999 Views
Assalam Aleykum Katika matukio ambayo yanazidi kuonesha kuwa sisi watanzania labda hatuna haki ya kuishi au haki zetu binafsi hasa kwa nchi za kiarabu ambayo ndugu zetu hukutwa na majanga mazito...
52 Reactions
881 Replies
98K Views
MKUU wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta nchini, George Mwamgabe ambaye hivi karibuni mwajiri wake alitangaza kwenye magazeti kuwa anatafutwa, amedaiwa kumtegea dawa za kulevya Postamasta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna watu wengi ufa, upotea na uchizika wakiwa na hela kwenye Mobile money, ni vigumu kwa dunia hii ndugu kuwa na taarifa za kiasi alichonacho jamaa kwvenye mobile phone, Hivo basi sishauri...
13 Reactions
36 Replies
5K Views
Watafiti wa Kisayansi kutoka Chuo Kikuu cha ' Majiniasi ' tupu Duniani cha Havard kwa Kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Teknolojia Marekani ( MIT ) wameonya ya kwamba kama Wananchi wote...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitanda hiki kimeteremshwa toka kwenye basi checkpoint Bagamoyo kwa kosa la abiria kushindwa kulipia ushuru wa misitu wa sh20000. Aisee mtetezi wangu ni nani sasa Abiria kwenye dillema akaamua...
7 Reactions
184 Replies
24K Views
Utafiti wa sayansi uliofanywa hivi majuzi ulifichua kuwa watu warefu wamo katika hatari zaidi ya kupata aina fulani za kansa. Utafiti huo uliofanywa na watafiti wa Marekani na kuchapishwa katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kujua, sheria ya Visa ya kusafiria ipo namna gani kwa raia wa Ethiopia anaetaka kuja Tanzania? Yani Raia wa Ethiopia anatakiwa kuwa na Visa pamoja na Passport au ni Passport peke yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…