Jinsi kiatu brand ya TAIMA kilivyotikisa 2000's

Jinsi kiatu brand ya TAIMA kilivyotikisa 2000's

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Katika brand ya viatu zilizosumbua sana hapo awali hii brand ya TAIMA ilitikisa sana, kuanzia Mashuleni, Maofisini (hasa ukienda kusaka Ajira bila kuvaa Taima, basi una hatihati ya kuikosa Ajira[emoji23]), huko kwenye Band ndio usiongee mtu kama NYOOSHI ELSAADAT alikuwa member mzuri tu wa hii chombo na wengineo kibao.

Bt zilikuwepo Brand zingine nyingi kama MSHITE nk.
Tupe uzoefu na mitoko kama hii ulikuwa wapi mseeee.
View attachment 910571
PicsArt_10-25-04.52.14.jpeg
images%20(5).jpeg
unnamed%20(4).jpeg
unnamed%20(1).jpeg
unnamed%20(2).jpeg
unnamed.jpeg
 
Hhahahahah.. dahh. Nimekumbuka mbali sanaa.... kama umekumbuka taima shoes na bado hujaoa, iko shidaa...... siku izi ni mwendo wa clarkes
 
Dah,TAIMA ndiyo ilikuwa habari ya mjini enzi hizo na suruali ya kitambaa bwanga Fulani hivi.Aaaaaah!
Nje ya mkato huo wewe ulikuwa unaonekana koro tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom