Naomba kujuzwa hii mechanism inasababishwa na nini?

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
hope mko poa wana jf

kuna swala flani nimejaribu kujiuliza linasababishwa ni kitu gani nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja ikabdi nilete hapa ili na mimi niweze kujua zaidi.

Ipo hivi kama ukiwa umekaa na mtu beneath kuna mambo unakuta anafanya na wewe automatically unajikuta unafanya
mfano labda kukunja mikono wakati wa kusimaa , kuchezesha miguu, kupiga miayo n.k au kama umekaa na mtu kwenye gari dalala au private akiwa anachati utajikuta na wewe automatically unatoa simu yako mfukoni unaanza kuitumia na wakati hukua na hilo wazoo? hii inasababishwa na kitu gani?


naomba mnijuzee
 
Back
Top Bottom