Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,745
- 8,230
Ogopa kitu unafanya ujinga kinakuripoti, unakasirika na kwenda kufanya fujo kwenye ofisi zao bado wanaripoti hilo tukio lako la kufanya fujo...unaamua kwenda mahakamani bado wanarepoti kuwa umeamua kufungua kesi mahakamani,,unashindwa kesi bado wanaripoti kuwa umeshindwa..HUNA CHA KUFANYA..Hata ukifa watakuripoti....