Bodaboda kasomeni sheria za usalama barabarani

Bodaboda kasomeni sheria za usalama barabarani

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8,574
Reaction score
12,318
Nawasalimu wote humu jamvini tangu jana nahangaika polisi
Ilikuwa ni mchana mida ya saa 2 mchana nikiwa natokea mjini kuelekea
Nyakato na kama mnavyojua nyerere road kuanzia esso na sinai wamefunga
Traffic right kwa ajili ya watembea kwa miguu akitaka kuvuka kwenye
Zebra cross anabonyeza button inazuia magari anavuka
Kimbembe kilianza nikiwa nimesimama wavuke boda boda kutoka nyuma na haraka zake akajaa nyuma chini ajabu linashuka linakuja kwangu linafoka
Mzee msenge wewe unasimama hovyo tu nikajua kinachojili hapa ni kipigo
Ndani nilikuwa na chupa ya castle lager alipofika mlangoni anataka kunikwida shati nilimkutanisha na chupa yote usoni ikasambaa nikachimba mpaka kituo cha polisi kuripoti ndiyo boda boda kuletwa akiwa hatamaniki usoni alishonwa nyuzi 5
Na bandeji za kutosha
Wito boda boda kasomeni siyo kujifanya mna haki barabarani mtabaki vilema
Kwa kujitakia
 
Back
Top Bottom