Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwibara, Bunda mkoani Mara, Betha Sayi, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuwadhalilisha wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Sayi anatuhumiwa kuwavua nguo zote...
4 Reactions
47 Replies
9K Views
Lazima tuseme kahawa bei iko chini Tanzania huku Burundi na Uganda bei ikiwa juu, mlilolitaka kwenye kahawa mmefanikiwa haya endeleeni na huko kwenye korosho ili tuone mwisho utakuaje kwa nini...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanabodi Kama kichwa cha habari kisemavyo, ningependa kupata ufafanuzi na msaada kwa Mtanzania kuweza kupata vibali vya kufanyia kazi ukiwa Burundi na Kenya. Ni taratibu zipi natakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu binadamu wa kwanza kuumbwa,au tangu ulimwengu huu uanzishwe je unadhani ni binadamu/mtu gani anayeongoza na anayeendelea na ataendelea kutajwa tajwa sana sana na walimwengu kuliko binadamu...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimewakataa wanafunzi 138 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Josiah Kibira (JoKUCo) waliokwenda hapo kwa lengo la kuhamia katika chuo hicho kilichopo jijini Dodoma kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu wawili wakazi wa Jiji la Tanga baada ya kukutwa na meno ya tembo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, alisema watu hao wanashikiliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeumia sana ndani. Kama mnavojua wanajamii, mahaba ya wazazi wa kiume kwa watoto wao wa kike, kwangu binti yangu ndio kila kitu, hili hata mke wangu anajua, wanajamii wanaonizunguka wanajua...
30 Reactions
149 Replies
19K Views
Flaviana Matata‏Verified account @FlavianaMatata 2h2 hours ago Sisi tuendelee ku make headlines na mambo kama Kidnappings, kuzuia pregnant girls kurudi shule na contraceptive laws zetu. Mungu...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Je kuna mtu ana amini kwamba Trump anaweza kumwadhibu swahiba wake MBS kwa kitendo chake cha kinyama alichokifanya kwa kutoa order ya kuuwawa kwa jamal kashogy Binafsi sidhani kama Trump anaweza...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu hapa
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo: *_Nini chanzo cha uhai?_* *_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_* *_Dhumuni la kuishi ni lipi?_* *_Je kifo...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Zipo taarifa kwamba Bwana Majid Abdallah ambaye ni mfanyabiashara anayemiliki mabasi maarufu ya Princess Muro, amefikishwa mahakamani Kisutu kujibu mashtaka kuhusu wizi wa mafuta takribani lita...
5 Reactions
86 Replies
20K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Korogwe Mhe. Hilary Ngonyani amesema Mkuu wa Idara ambae atakua hajavaa suti kwenye vikao vyovyote vinavyofanyika vya halmashauri ya mji wa Korogwe atatolewa...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Nakumbuka sana mwaka jana Rais Magufuli aliongelea sana kuhusu mwamko wa watu wa mikoa ya kusini kuhusu zao la korosha na kupata mafanikio makubwa sana kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia kwasababu tu...
2 Reactions
65 Replies
11K Views
Wakuu kwa miezi sasa nimekuwa na mazoea ya kutoa hela kwa hawa mawakala Wa NMB.... Sasa nimekuwa nikishangaa nikiangalia salio ni tofauti na hesabu zangu maana nilijua wanakata kama ATM... Kumbe...
1 Reactions
13 Replies
22K Views
Habari watanzania, Mi ni mtanzania ninayeishi Finland--Nokia, Nimekuwa napitia maelekezo mbali mbali juu ya upataji wa passport mpya, nimeelewa kuwa 1. Ambao hawajawa na passport kabisa wataaply...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndugu zanguni, Kwanza kabisa nawasalimieni wote. Naomba mnisaidie mimi nina kiasi cha Shilingi Lack 5 cash, nahitaji msaada wa kufika tu South Africa. Swali langu kubwa linalonitesa ni kwamba...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
WanaJF habari... ​ Kama mwanaume akimwambia mwanamke akisema…“Unajua mimi nakupenda sana… tena nakupenda saana… Lakini sipo tayari kua bwana wako. Yaani sipo tayari kua mume wako”. Je, mtu...
0 Reactions
8 Replies
19K Views
Ukielewa kwa nini umejengwa hivyo basi utaupenda, Mji wa Iringa ni ,,ngome” ulijengwa hivyo ili kuwalinda wananchi wake dhidi ya wavamizi ndo maana ukitaka kuingia Iringa city unapanda Mlima hivyo...
17 Reactions
119 Replies
24K Views
Habari za wazi ni kwamba 90 % walio chaguliwa kuwa wa NEC wa CCM walitoa rushwa.Kwa tukio la juzi Membe kukodi ndege kwenda Mwanza kutoa 40mn kwenye kila kikundi cha kihuni kule Mwanza kinanifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…