Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu jamaa kila nikiangalia picha zake toka amerudi naona kabisa bado hayuko sawa kwa mtazomo wa lugha ya mwili au body language ...anahitaji msaada wa kisaikolojia......Mungu na amsadie tu
14 Reactions
112 Replies
12K Views
Chanzo cha ajali hiyo ya moto bado hakijajulikana. Shule hiyo ya sekondari ipo Mkoani Songwe. Hii si mara ya kwanza kwa shule hiyo kuteketea kwa moto, miaka zaidi ya 10 iliyopita iliwahi kukumbwa...
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Jamani,kwani huko hospitali wanapimaje?Nimejikuta ghafla nakumbuka zoezi la kuinikwa!!!! Lakini kama mtu ana chuki na mtu fulani si anaweza kutuma ujumbe kumtaja ili apitie msaala wa...
1 Reactions
109 Replies
10K Views
Kwenye saikolojia kuna kitu tunaita sex identity disorder au gender dysphoria. Hii ni ile hali ambapo mtu anakuwa haimuingii akilini kuwa na jinsi aliyonayo au aliyozaliwa nayo. Mtu anaweza kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu was mkoa wa Dar ess salaam Paul Makonda amemtaka msanii Godfrey Tumaini "Dudubaya" kutulia badala ya kutaja wanahabari ya kiume anaewatuhumu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja...
5 Reactions
104 Replies
21K Views
Mimi huwa nasikia, hiki mara kile sio utamaduni wa Mtanzania!, huo utamaduni wa Mtanzania ni Upi au ni nini?!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, ninafanya tafiti kidogo na nimefikia hatua za mwisho ' kuna test questions chache nahitaji kuzijua ; 1.Hivi hayati Dr.kreluu hakuwahi kuwa na watoto ,mke kama wapo wapo wapi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nape na kinana walipigana kuhakikisha CCM inarudi madarakani kwa nguvu zote hata kugharimu hadi Maisha ya wengine kuna wapo walipoteza maisha wakati wa Mapambano, Ndugu yangu Anwar hadi leo...
34 Reactions
59 Replies
9K Views
Je sifa za wanawake wa makabila haya n kweli?hasa hii no.18?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Ninachokiona ni kwamba huwezi kulazimisha watu watumie sheria za barabarani za mwaka 60 ambapo gari zilikuwa chache hasa Mandolin zenye full speed around 80-110km/h huku nyingine...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Amani naiwe kwenu. Niende moja kwenye mada. Tokea wimbi la "kutaja" kwa mafumbo na dhahiri kwa wanaojihusisha usodoma limeshika kasi katika jamii yetu kumekuwa na "ganzi" Fulani hivi kwa memba wa...
1 Reactions
7 Replies
849 Views
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Peter Msigwa amekanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa gari yake inauzwa kutokana na hali ngumu ya...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
HALMASHAURI ya Wilaya ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, imeshauriwa kuanzisha bucha maalumu kwa ajili ya kuuza nyama ya kiboko ikiwa ni mkakati wa kuwapunguza viboko waliopo katika bwawa la...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wassalaam. Hivi ndugu zetu wanaoishi zanzibar kwa muda sasa zaidi ya wiki 2 wamekua wakisumbuka katika kutafuta mafuta ili kuendeshea shughuli zao za kila siku. Je tujiulizeni kwa nini hili suala...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Habari wanaJF, Tangu jana kumekuwa na mijadala na post nyingi sana zinazozunguzia Ushoga na wapo wanao support kwa sababu ya misingi ya haki za binadamu na wengine kupinga vikali nikiwa mmoja wao...
1 Reactions
0 Replies
916 Views
Kichwa cha habari chahusika. Kuna kitu ambacho watumishi wa umma na jamii wanakiona cha kawaida sana. Suala la matumizi ya rasilimali za serikali kama magari, pikipiki, computer, ofisi n..k...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba kuna kamati itakayo undwa kufuatilia na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Iliyo katika hali nzuri, no scratches. Ukiweka picha itapendeza. Uwe dar au arusha na bei maelewano.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
“A nation which refuses to learn from foreign culture is nothing but a nation of idiots and lunatics... But to learn from other cultures does not mean we should abandon our own.” FREEDOM AND...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja kati ya wale wachache wanaopenda sana kutazama movie za kutisha au kwa jina jingine ni horror movies na zile movie za mission kama Operation blue sea au ile ya Lone survivor, Movie...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…