Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naweka BIG NO kwenye hili suala wanalosema watu kuwa Magufuli ameleta nidhamu makazini. Watumishi wa umma(baadhi) wamekuwa na woga kuhofia kuwajibishwa, hasa kwenye Halmashauri maana huko kila mtu...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Mzuqa Kwanza ieleweke kabisa tulikuwa tunalalamika sana tu safari nyingi za JK ambazo hazikuwa na tija siyo kulalamika kusafiri. Nchi kama yetu bila kupigwa jeki na tafu hatuwez kabisa kumudu...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari wana jf, Kichwa cha habari kinahusika Nimekuwa nawaza baada ya mh Dr John Joseph Pombe Magufuli nani anapaswa kuwa mrithi wake?? Binafsi nashukuru na kupongeza Sana utawala wake maana...
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Habari watanzania wooote Hivi hawa traffic huku barabarani hakuna ambao Ni wakristo au waislam au ndio hiyo roho ya uharibifu kutoka kuzimu imewaingia wote hakuna anaye ona akawafunbua macho...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba USHAURI Mpangaji Jirani yangu wa Kike anaomba nimkopeshe pesa Sina mazaoea nae..!! Habari wakuu. Naamini mpo salama salmini. Baada ya Salam niende moja kwa moja kwenya mada. Ipo ivi wiki...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
TCRA TUNAOMBA MCHUKUE HATUA KWA AWA MATAPELI: "IYO PESA UTAITUMA KENYE NAMBA HII YA TIGO PESA (0718553611)JINA LITAONYESHA (FRANK MATUNGWA)"
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Idara ya uvuvi mkoani Kagera imekamata samaki aina ya sangara kiasi cha tani 1.2 wenye thamani ya Sh10.3 milioni ambao walipatikana kwa njia za uvuvi haramu na walikuwa wakitoroshwa kwenda nchini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda mtu mwingine ambaye naye huyo mtu hampendi...
2 Reactions
1 Replies
912 Views
UKISIKIA neno Konki Konki, Konki Master kwa harakaharaka kwanza utamfikiria mkongwe katika Muziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’. Kwa kipindi cha hivi karibuni, Dudu Baya aliyewahi...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imenasa wafanyabiashara wakubwa 10 wa maduka katika eneo la Kariakoo kwa tuhuma za udanganyifu wa kulipa kodi kwa serikali. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwasemaje na ngoma za asli!?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzuqah wanajamvi, Naona bongo hatuna desturi ya kumiliki haya magari. Motor homes ni haya magari kama nyumba. Ambayo yana kitanda, choo bafu na jiko. Kati ya motorhomes nayoipenda ni Burstner...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu yake ya kawaida kama binadamu mwingine, mie nafikiri ni kiongozi ambaye angalau amejaribu kuonyesha umahiri wake katika utendaji. Tumeona Wizara alizokabidhiwa na mabadiliko...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni msaada wenu wajuzi. maana kuna job nime apply wameniambia wanataka hiyo card.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, Kwako Mheshimiwa Rais wa JMT na Waziri wa Utumishi. Ninaomba kueleza changamoto kubwa ambayo baadhi ya wilaya na mikoa inazembea sana katika kulishughulikia au kulimaliza kabisa. Tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu Watanzania, Na wakazi wa Dsm, Kama mkazi wa mbezi msakuzi-makabe na Mtanzania halisi, Napenda kutoa wito kwa Serikali yetu kuanzia ngazi ya mkoa, Usafiri huu ni mbovu na...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Nimepoteza line ya airtel Jana na ni line mhim sana ,naomba kuuliza namna ya kurenew line ya airtel kuna tofauti na ile ya vodacom kwa vigezo na masharti ?
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Nmenunua mitungi miwili yenye ujazo sawa na nmefanya kautafiti kidogo nmegundua hlo.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Turkish Amateur club Saraykoyspor have confirmed the death of Nigerian forward Ekundayo Ebenezer Mawoyeka who slumped during Sunday’s league game. The 23-year-old collapsed in the 35th minute of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani...
13 Reactions
141 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…