Polisi

Polisi

amigod

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
345
Reaction score
264
Habari watanzania wooote
Hivi hawa traffic huku barabarani hakuna ambao Ni wakristo au waislam au ndio hiyo roho ya uharibifu kutoka kuzimu imewaingia wote hakuna anaye ona akawafunbua macho wengine
Maisha Ni magumu kote kuendesha gari hakumaanishi huyo yupo vizuri kwa hiyo kila mara awindwe kulipa faini mnacho kifanya kinatuumiza wenzenu nasi tunawategemezi kuweni na huruma ya kibidamu
Lakini pia kwa wakristo kama wapo wakumbuke usemi huu watendeeni wengine kama vile ambavyo ninyi mgependa wao wa watendee je? Ninyi mnapenda kunyang'anywa pesa ndogo mlizo nazo mifukoni kama ndivyo endeleeni Kama sivyo rekebisheni inaumiza sana sio kidogo ikikufika
Mnatengeneza uadui na sisi ndugu zenu tunawachukia kwa matendo yenu hayo mungu awasaidie siku moja mkajue mfanyayo Ni mabaya kwa wengine mkaache sio kweli kuwa huyu anakosea kila mara muelimishe mkanye wewe Ni leta leseni na namba ya gari tayari imewekwa kwenye mashine ninyi mtafuteni mungu ninyi awaongoze kutenda yaliyo mema
 
Yaani ukitaka kuona watu wamelala kwenye godoro la faini angalia matrafiki wetu kila ukipita ana mashine ya risiti mkononi.

Yaani tunapigana kuelekea kwenye nchi ya viwanda hata kujisimamia hatuwezi! Si bora tuite wakoloni watutawale.
 
Habari watanzania wooote
Hivi hawa traffic huku barabarani hakuna ambao Ni wakristo au waislam au ndio hiyo roho ya uharibifu kutoka kuzimu imewaingia wote hakuna anaye ona akawafunbua macho wengine
Maisha Ni magumu kote kuendesha gari hakumaanishi huyo yupo vizuri kwa hiyo kila mara awindwe kulipa faini mnacho kifanya kinatuumiza wenzenu nasi tunawategemezi kuweni na huruma ya kibidamu
Lakini pia kwa wakristo kama wapo wakumbuke usemi huu watendeeni wengine kama vile ambavyo ninyi mgependa wao wa watendee je? Ninyi mnapenda kunyang'anywa pesa ndogo mlizo nazo mifukoni kama ndivyo endeleeni Kama sivyo rekebisheni inaumiza sana sio kidogo ikikufika
Mnatengeneza uadui na sisi ndugu zenu tunawachukia kwa matendo yenu hayo mungu awasaidie siku moja mkajue mfanyayo Ni mabaya kwa wengine mkaache sio kweli kuwa huyu anakosea kila mara muelimishe mkanye wewe Ni leta leseni na namba ya gari tayari imewekwa kwenye mashine ninyi mtafuteni mungu ninyi awaongoze kutenda yaliyo mema
Mkiachwa huru na vi vitz vyenu huko barabarani mtamaliza watu, maana mbongo akishanunua ka gari kwa hel a ya mkopo hawezi kuheshimu watumiaji wengine wa barabarani.
 
Trafiki walikunywa chai mkuu tuliye mchagua akawasifu sana madhara yake ndoo.nahic trafiki wa tz ni wasumbufu dunia nzima wao ni mahakimu ,tra hichi kitengo kingefutwa kiundwe upya maana madereva hawana raha
 
Umenena vyema mkuu kifutwe kipo kudhurumu watu kimeacha mauzui ya uanzishwaji wake kimekuwa Cha mavuno kwenye lami hata Kama mazao hayastawi kwenye lami wao ni kuvuna tu wabaya hawa wanyang'anyi kabisa harafu wanavyonuna ukiingia 18 yake utapenda
 
Habari watanzania wooote
Hivi hawa traffic huku barabarani hakuna ambao Ni wakristo au waislam au ndio hiyo roho ya uharibifu kutoka kuzimu imewaingia wote hakuna anaye ona akawafunbua macho wengine
Maisha Ni magumu kote kuendesha gari hakumaanishi huyo yupo vizuri kwa hiyo kila mara awindwe kulipa faini mnacho kifanya kinatuumiza wenzenu nasi tunawategemezi kuweni na huruma ya kibidamu
Lakini pia kwa wakristo kama wapo wakumbuke usemi huu watendeeni wengine kama vile ambavyo ninyi mgependa wao wa watendee je? Ninyi mnapenda kunyang'anywa pesa ndogo mlizo nazo mifukoni kama ndivyo endeleeni Kama sivyo rekebisheni inaumiza sana sio kidogo ikikufika
Mnatengeneza uadui na sisi ndugu zenu tunawachukia kwa matendo yenu hayo mungu awasaidie siku moja mkajue mfanyayo Ni mabaya kwa wengine mkaache sio kweli kuwa huyu anakosea kila mara muelimishe mkanye wewe Ni leta leseni na namba ya gari tayari imewekwa kwenye mashine ninyi mtafuteni mungu ninyi awaongoze kutenda yaliyo mema
Ni washenzi sana, nilishapanga kumkanyaga mmoja ila akili iwajie.
 
Umenena vyema mkuu kifutwe kipo kudhurumu watu kimeacha mauzui ya uanzishwaji wake kimekuwa Cha mavuno kwenye lami hata Kama mazao hayastawi kwenye lami wao ni kuvuna tu wabaya hawa wanyang'anyi kabisa harafu wanavyonuna ukiingia 18 yake utapenda
Mkuu trafik wapo kenya naenda mwaka 11 ndani ya sijawahi ona akisimamisha gari liwe dogo au kubwa.wa tz wapo tofauti ndo maana mtu anahonga apata utrafik akapige hela zetu.ushauri kila akaa miezi 6 wabadilishwe waje wengine waliokuwepo weingie lindo.lugola ushauri huo
 
Umenena vyema mkuu kifutwe kipo kudhurumu watu kimeacha mauzui ya uanzishwaji wake kimekuwa Cha mavuno kwenye lami hata Kama mazao hayastawi kwenye lami wao ni kuvuna tu wabaya hawa wanyang'anyi kabisa harafu wanavyonuna ukiingia 18 yake utapenda
Safari ya nusu saa unatumia masaa 2 hawa matrafic bongo wao ni pesa tu siyo muda ujinga huu
 
Umenena vyema mkuu kifutwe kipo kudhurumu watu kimeacha mauzui ya uanzishwaji wake kimekuwa Cha mavuno kwenye lami hata Kama mazao hayastawi kwenye lami wao ni kuvuna tu wabaya hawa wanyang'anyi kabisa harafu wanavyonuna ukiingia 18 yake utapenda
Nani atakifuta hicho kitengo wakati kwa sasa wanashindani kukusanya mapato. Na kipimo cha mkoa bora ni makusanyo mengi kama dalili ya kushughulikia madereva?

Nafikiri Matrafiki ni binadamu lakini inaonekana kuna Presha kubwa nyuma yao ya kukusanya pesa kila siku na wanatumia mwanya huo huo kuwa miungu watu.

Lakini pia Sheria ni tatizo mana kila kosa limekua linaadhibiwa kwa faini. Na makosa madogo madogo ni Mengi na yote ni faini tu kulingana na sheria. Sasa hawawezi kukosa kosa hata kama ni dogo na halina madhara kwa usalama.
Mfano Mtu anaandikiwa faini kuwa hajasimama kwenye Zebra Crossing hata kama hakuna mtembea kwa miguu. Huu mwanya wa kisheria na hakuna Kiongozi anayeuona kwa sababu wao wanamaisha mazuri na hawakamatwa hivyo hayo hayawahusu.

Jambo lingine ni suala la Mwendo kasi wa 50 kwenye makazi hata kama barabara imenyooka nayo sio sawa. Wanapaswa sasa kuongeza ifike 70 KPH kama hakuna kibao lakini kuna makazi lakini pia Makazi yanatofautiana hivyo vibao visiwewe 50 tu. Sehemu nyingine viwe 60 ,70.
Mabasi yaongezewe speed ifikie 90 KPH na 100 sehemu iliyonyooka. Vibao ndio viongoze madereva barabarani sio sheria kwenye vitabu tuu.
Pia pawe na mahakama maalumu ya makosa ya barabarani ili watu wasionewe.
Watu wajiamini ili askari anayembambikia MTU Kesi au kumwonea akishindwa mahakamani alipe fidia kwa mwananchi ili kuongeza uadilifu.

Mara nyingi naona nchi nyingi za kiafrika zina matatizo hasa kwa wananchi wa Chini kwa sababu viongozi wao ni mabepari ,wakoloni na miungo wasioishi kwenye dunia Moja na wananchi wao pamoja na kujigamba kuwa wanawajali wanyonge.
Labda siku moja atokee ,mkuu wa nchi ,Waziri mkuu ,mawaziri, spika wa Bunge na wabunge Watoke Dar es salaam mpaka Dodoma kwa kutumia barabara halafu wafuate alama za barabarani za kudhibiti mwendo . Kwenye speed 50 watembee 50. Hakika wangeborka sana na wangebadili mawazo na kufanya utafiti upya wa namna ya kubadili baadhi ya sheria za barabarani .

Vinginevyo tutabaki kuwalaumu Trafiki ambao ni vijana wanyonge tu wasio na maamuzi ya kubadili sheria zaidi ya kusimamia sheria mbovu zilizopo ili kulinda kibarua chao.
 
Back
Top Bottom