- DAWA YA MASHOGA, WASAGAJI, WAZINIFU. HII HAPA.
Pale mtu anapoumwa ugonjwa huwa anahitaji dawa au matibabu, lengo la kuhitaji matibabu ni ili kuondoa ugonjwa, na ugonjwa hauwezi kuondoka bila...
Angalia picha ya jiwe la ajabu nchini Tanzania na hairuhusiwi kulipanda wala kulisogelea!! Kwani ni hatarii
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Maana ya neno Mbuji ni...
Siku moja THOMAS alipewa barua toka shuleni kwao na kusisitizwa ampe mzazi wake naye alikuwa na mama tu kwa wakati huo.
Mama yake Thomas alipoifungua na kuisoma kimya kimya ,machozi yalimtiririka...
Kuna ajali mbaya imetokea usiku huu maeneo ya Mbande, Dodoma
=====
Watu saba waliokuwa wakisafiri katika gari STL 6250 mali ya CAG wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari...
Kama unaitwa Charles na wewe ni mteule wa naniliu basi kaa chonjo..
Charles Kitwanga
Charles Mwijage
Charles Tibeza
Ch....
Charles...
Charles...
Nawatakia kazi njema.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wawili wanaofahamika kwa majina ya Mgassa Carlos Jeremiah(42), mkazi wa Bulele na Jafari Swalehe(57), kwa kosa la kumtorosha na kumpeleka...
Wiki moja baada ya klabu ya Simba kufanya uchaguzi mkuu na kupata viongozi watakaoingoza kwa miaka 4 ijayo, uongozi huo leo umekuatana na mwekezaji wa klanu hiyo Mohammed Dewji.
Mohammed Dewji...
Wakuu tuliokulia maisha ya kuisikia kauli hii toka kwa wazazi wetu tukutane hapa tufarijiane.
'Mama ametoka Kiboruloni kununua Mtumba wa Sidiria. Kazileta home,tumezifua na kuzipasi kwa moto wa...
Huwa najiuliza moto au joto linaundwa na nini kiasili hadi kuteketeza mambo ya kishirikina kama matunguri?
Vipi umeme na nguvu nyingine zishindwe?
Wajuvi mtujuze
Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua, nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani...
Habari wadau;
Kuna mtu wangu wa karibu amekwa chuoni na anahitaji msaada ili aweze kuendelea na masomo.Msaada anaohitaji ni wa kiasi cha TZS 335000 kwa ajili ya kukamilisha malipo ya ada.
Kwa...
Nani anathubutu kuinyoshea kidole Marekani na Trump kufuatia matusi kwa wanahabari wanapomuuliza maswali na kashfa ya wizi wa kura na upendeleo wake kwa baadhi ya wagombea hasa kipindi hiki cha...
Tanzania ndio Nchi pekee duniani ambayo ukiwa wa jambo lolote huna haja ya kulielezea kwa undani wewe weka kichwa cha Habari tu..
Yaani story wataielezea wao wenyewe.
Naipenda Tanzania yangu Mimi...
Habari wana jf
Ubunifu ni jambo la msingi sana katika kurahisisha huduma kwa jamii.....
Mfano:
Uwepo wa sim benk ...umerahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha nje ya benk.
Mitandao ya simu...
Habari wakuu
Napenda nichukue nafasi hii kueleza nilicho jifunza siku ya Leo,huenda miongoni mwetu yupo atakaye guswa na somo hili
Nanukuu mafundisho
UAMINIFU
Kuna maana nyingi sana za...
Mahojiano ya Shahidi na mawakili katika kesi ya Yericko Nyerere:
Jana 23/5/2018 kesi namba 188 inayomkabili mfanyabiashara na kada wa Chadema Yericko Nyerere iliendelea kusikilizwa mbele ya...
Habari wakuu
Nchi yetu ya Tanzania ni nchi inayoendeshwa na viongozi wengi lakini wengi wao hayafahamiki na hayajulikani majukumu yao.
Katika uongozi ni lazima kuna kanuni na utaratibu kwa maana...