anapenda kulia jaman,kha...WTF?????

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
big baby crying...unadhalilisha bible tu,matendo yako maovu yanajulikana unajificha kwenye mwamvuli wa HOLY BIBLE.
Capture.PNG
 
YAANI KAMA MWANZA alivyofanya ufisadi utashangaa anavyojifanya mwema,hotel,gorofa 5 katikati ya mji,sasa hivi anajenga hostel za kisasa huko ibanda maana chuo cha udaktari bugando kinahamia huko anatega wanafunzi,jumba la kifahari igoma likapelekewa na barabara ya tiles km 2 hadi getini,majirani watajijua na dingi ana roho mbaya kuliko yeye bado ile ardhi kule dodoma yale maheka,bado mjumba huo masaki,yale magari yasiyohesabika ya kifahari,yote hayo kwa mshahara wa 4.6 millions?eti wacha Mungu...kwendaaa GO TO HELL
 
Anaye mhukumu mwenzie nayeye atahukumiwa.
kweli kuna wengine wanateka,imagine umesomesha mtoto wako india halafu anatekwa anauliwa na mwili hujawahi kuuona hadi leo...kuhukumu wengine sio vizuri na hata kukatiza uhai wa mwengine ni vibaya zaidi,hapa unakuwa mshirika wa DEVIL
 
Mwanasiasa yeyote, si wakuaminika. Hapo hakuna cha kujutia wala nini, ni maigizo tu bora yake yaende, na mpaka sasa kafanikiwa sana!
 
MNAFIKI SANA. leo analia kwasababu ya mashoga Dsm lakini walivyouawa raia wasio na hatia kama Akwilina na wengine jujutwa maiti zai ufukweni au alivyopigwa risasi Tundu Lissu hakulia hata.

Mh. Makonda ACHA UNAFIKI na usimchezee MUNGU.

Mungu hapendi mtu Mnafiki.
 
Mungu mwema ninayekuamini, kama itakupendeza, wakati analia basi ataje kwa sauti matendo yake yote maovu aliyoshiriki ili toba yake ikapokelewe mbele ya baraza lako la haki na msamaha na kinyume chake ni unafiki na kukukejeli wewe Mtakatifu! Naomba na kushukuru. Uliyesoma sema Amen na uitype! Anatutania wana maombi wenye ithibati na Muumba!
 
YAANI KAMA MWANZA alivyofanya ufisadi utashangaa anavyojifanya mwema,hotel,gorofa 5 katikati ya mji,sasa hivi anajenga hostel za kisasa huko ibanda maana chuo cha udaktari bugando kinahamia huko anatega wanafunzi,jumba la kifahari igoma likapelekewa na barabara ya tiles km 2 hadi getini,majirani watajijua na dingi ana roho mbaya kuliko yeye bado ile ardhi kule dodoma yale maheka,bado mjumba huo masaki,yale magari yasiyohesabika ya kifahari,yote hayo kwa mshahara wa 4.6 millions?eti wacha Mungu...kwendaaa GO TO HELL
Mamaee zake
 
Unafiki huu, nilimwona kwa Mwingira analia Hulu analindwa na bodyguard. Je anamaanisha Mungu hamtoshi kwenu ulinzi.
 
Back
Top Bottom