ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,457
- 4,792
Habari wadau;
Kuna mtu wangu wa karibu amekwa chuoni na anahitaji msaada ili aweze kuendelea na masomo.Msaada anaohitaji ni wa kiasi cha TZS 335000 kwa ajili ya kukamilisha malipo ya ada.
Kwa anayeweza kumkopesha au kusaidia tafadhali naomba tuwasiliane PM for further details
Msaada wako ni muhimu.Tafadhali kama unaweza kusaidia tuwasiliane
Asante