az

az

Habari wanafamilia wa jf, Mimi kama ndugu yenu nimeamua kuanika mambo yangu ya ndani ili kumfunulia ukweli MTU yeyote atakaeona amepata somo la maisha na shukrani sake ziende katika uongozi waJF. Tukiwa ktk mkoa wa katavi baba angu aliamua kuachana na kazi ya ualimu na akamrudisha mama kwao unyamwezini na akapotelea migodini. Mama alikaa nasi kwa mwaka mmoja na kututelekeza ukweni na akasepa. Nikiwa na umli wa miaka miwili nilikaa familia yenye malezi shupaza nikawa ni MTU wakuhamahama Mara kwashangazi Mara kwa bamdogo Mara kwa babu Mara kule. Familia zote maisha niliyopitia mungu anajua asikwambie MTU.... Hebu nikupe mfano, siku moja mke wa bamkubwa alinituma sufulia ndani nikamletea mwiko... Aliupokea na kunipiga nao mpaka ukavunjika na ulikuwa wa kupikia mkubwa mpaka ikabidi tukaazime wakupikia siku hiyo. Katika makuzi yangu safari ilikua ngumu mno! Na mpaka nikapata tatizo ambalo nilikuja kulifahamu ukubwani ila baaba yakusoma. Nikiwa bado mdogo sikumwamini MTU yeyote alie kuwa mbele ya macho yangu nilijenga hofu kubwa kwa binadamu. Ukubwani sasa imekuwa vivyohivyo hata mwalimu akinifundisha nakua na wasiwasi nae kama amachoniambia kitanisaidia maishani. Nilikuwa nikitoka shule utaona nauza hiki nakile ili nipate kafaida na nilikua mgumu sana baba alitutafuta tukiwa na miaka mfano Mimi 12years na tukaendeleza maisha na mama wakufikia ambae yeye hakunizuru zaidi.nilifanikiwa kumaliza la form four na baba kukili ameishia hapo na nilikaza msuli kama jeshi la MTU mmoja na kufanikiwa kujinyakulia degree ya ualimu kwa masomo ya Sana'a (majanga) ... masomo yangu yaliendeshwa na tubiashara ila university kamkopo simnakajua na nikiwa katika masomo sikuamini kama nayoyaandika yanaweza kunikomboa ila juhudi zangu. Mhadhili akitoa kazi kwangu inakuwa ziada na hata tukiwa maktaba collection ya vitabu nilivyokua nasoma Mimi viliwashangaza hata schoolmate wezangu na niliposoma nikagundua kuwa ninatatizo la kutokuamini kila MTU kwa wanasychology hapa wanaita (DEVELOPMENT OF MISTRUSTFUL AQUIRED AT 0-5yrs) ambalo mpaka sasa linanisaidia. Mwenzenu siamini kama kwakupiga polojo tu naweza pata pesa isapokuwa kwa juhudi. Hata MTU kusema ingawa umesoma ila kaza no! Naona nikitu cha kawaida na kutokana na kujipinda huku kitaani nategemea kuhamia ktk nyumba yangu MPYA ya vyumba 3 na sebule1 ndani ya juma hili ingawa sijaweka madirisha nitagonga makaratasi nikiwa baba wa watoto2. Pasipo kuwa na tatizo hili ningechanganyikiwa kwa baadhi matendo na maamuzi ya watu hivyo nashauri katika maisha ya MTU dereva mkuu ni wewe. Usivipe 100% vitu vilivyo nje yako acha kulialia hakuna binadam anaefill maumivu yako ila wewe. Mistrust imenisaidia kufanya kazi arbnomal na kuieshimu pesa balaa. Kwangu huchomoi mia kizembe na kwangu michango sidhani kama itanisaidia nami ktk shida zangu baadae.Hivyo watoto wamama mtaani huku usipokua na nidhamu ya pesa baadae subiri penati za maisha na tegemea lolote kwa watu wema au ubaya. KARIBUNI KWA POVU NA MAONO YATAKAYONIJENGA Ni Mimi kijana wenu asiyeijua hata chembe ya starehe.
Vyema sana bro Mungu akujalie
 
Umeweka somo zuri ila hapo mwisho umetukoga ile mbaya.Ila kipigo cha mwiko kilisaidia.Natania
 
Nitarudi ukipanga paragraph
 
Nitarudi ukipanga paragraph
JAMANI HATA heading niliandika nyingine lakini iliyotokea nashangaa na vingine jamani mjue stress za maisha yani teacher mzima Nina miaka 3 hata lesson plan content zake mpaka nije niperuz... Life hil bana asikwambie mtu
 
Back
Top Bottom