Nani wa Kumgusa Marekani.?

Nani wa Kumgusa Marekani.?

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Nani anathubutu kuinyoshea kidole Marekani na Trump kufuatia matusi kwa wanahabari wanapomuuliza maswali na kashfa ya wizi wa kura na upendeleo wake kwa baadhi ya wagombea hasa kipindi hiki cha Midterm elections ambapo Republican Party imeanguka kwenye Congress? Na tunakuwa huru kunyoosha vidole huku Afrika tu? Wako wapi Mabalozi, Amnesty Internatiinal, Watetea haki za Wanahabari, Wanasiasa, nk? Au mkubwa akiwa uchi huambiwa kasahau kuvaa?
 
Sijui ume andika nini..emu soma ulicho andika uki elewa na mm nta elewa lbd[emoji848]
 
Tusibirie ripoti ya waangaliza wa kimataifa chaguzi za marekani.
 
Nani anathubutu kuinyoshea kidole Marekani na Trump kufuatia matusi kwa wanahabari wanapomuuliza maswali na kashfa ya wizi wa kura na upendeleo wake kwa baadhi ya wagombea hasa kipindi hiki cha Midterm elections ambapo Republican Party imeanguka kwenye Congress? Na tunakuwa huru kunyoosha vidole huku Afrika tu? Wako wapi Mabalozi, Amnesty Internatiinal, Watetea haki za Wanahabari, Wanasiasa, nk? Au mkubwa akiwa uchi huambiwa kasahau kuvaa?
FUTA ulichoandika
 
Ebu tumia utaashi wako, acha kutumia mihemko na hisia hasi, angekuwa mbaya wapinzani wake wameshindaje???

Mnyonge mnyongeni haki yake mwachie afe nayo..! Sasa shit hole countries zijilinganishe na marekani.
 
Back
Top Bottom