Ni mtazamo tu......

Ni mtazamo tu......

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
319
Habari wana jf

Ubunifu ni jambo la msingi sana katika kurahisisha huduma kwa jamii.....

Mfano:
Uwepo wa sim benk ...umerahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha nje ya benk.
Mitandao ya simu kuanzisha huduma za kifedha umepelekea wepesi wa upatikanaji huduma hizi mijini kwa vijijini......

Naamini Malaika wa ubunifu angewatembelea wenye mamlaka hususan katika sekta ya maji na umeme.... nchi yetu ingekua kinara kwa upatikanaji wa huduma hizi kwa uhakika.......

Zingetengenezwa sera zenye kuwaruhusu wenye mitaji yao kuweza kutoa huduma kwa jamii....matatizo ya maji na umeme ingebaki stori TZ

Hapanilipo ninamiezi 5 tangu nimekamilisha malipo ya kuunganisha umeme, nguzo moja tu ......TANESCO wadai hawana nguzo......oooooh !
Maji yaweza pita hata mwezi hata tone usilione bombani....ooooh Tz!

.......Wewe kusanya kodi tuache siye tutoe huduma.......
 
Back
Top Bottom