kikulacho...
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 321
- 224
Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
Nilipie ili niangalie sinema zetu na sultan dah hapana kwa hilo[emoji2] [emoji2] [emoji2]lipia kin'gamuzi tu mambo yasiwe mengi
sidhan maana saiv tuko bize na koroshow...Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
Sidhani kama kuna mtumiaji Wa DSTV anayependelea local channels, ukitaka local channels uwe na startv
Wewe Ulisikia watarudisha?Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
Continental Decoder.Startv wana kisimbusi?
Startv wana kisimbusi?
Kanunue digital TV utapata channel hizo bure, inatumia antena ya mwiba wa samaki bei ni laki 5 hadi 7Mm king'amuzi cha Azam nimekitumbukiza kwenye maji sasa nakamata channel zote.. 😡😡
Walisema hazitorejea mpaka Sheria ibadilishwe bungeni. Nadhan Azam wangeziondoa tu kwenye list yao kwa sasa kuliko kuziweka then hazionyeshi. Hii itaturahisishia "ku scroll".Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
Kanunue digital TV utapata channel hizo bure, inatumia antena ya mwiba wa samaki bei ni laki 5 hadi 7