Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha.
kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18...
Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa.
Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao.
Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe...
Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo.
Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya...
Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji...
Kama ushawahi kufanya biashara ambayo inapita gizani au haramu ni ngumu sana kupelekana kwenye haki na cha zaidi mtabaki kuangaliana au kuumizana wenyewe.
Kwa utawala huu ni wazi kwa sasa...
Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga.
Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna...
Kupitia bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar iliyowasilishwa Mei 19, 2026 inaonyesha idadi ya maambukizi ya VVU inaongozwa wanawake. Watu waliopimwa ni 129, 741 wanaume 57, 615 na wanawake 72, 126...
3,000,000,000 Shilingi za kitanzania Bilioni TATU tu, ndicho kiasi nilichohitaji kuingia kwenye biashara ya mafuta,nilitaka kununua kituo Cha mafuta kilichoko potential kabisa jijini Dar es...
Imesimuliwa na Ibn Abbas (ra).
Umar Khattab Alimjia Mtume Muhammad (ﷺ) na kusema: Ewe Mjumbe wa Allah! Nimeangamia!
Mtume (ﷺ) Akasema, Kwanini Umeangamia?
Umar akasema, Jana usiku nilimgeuza...
Mkuu wa Kitengo cha Mifumo Mbadala ya kidigitali wa Benki ya Exim Silas Matoi (Aliyekaa Kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo Exim WhatsApp Banking unaolenga kuwawezesha wateja wa Benki...
Tafadhali chukua hatua za dharura na za haraka ili kuokoa afya za watanzania wanaoishi dar es salaam
Kuna haya magari ya ukubwa wa canter lakini either ni ya china au india yameelekezwa bomba la...
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa.
Jiulize, kwa nini PM...
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa...
Tutaanza kuishi endapo tutaiacha ego mfukoni. Watu wengi wanaishi katika mifungo ya mawazo Yao wenyewe.
Here's to destroying our own egos.
Cc
meghan markle
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Mei 20, 2026 amezindua rasmi Basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi.
Akizungumza mbele ya Watumishi, Mrindoko amesema Basi hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.