Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Amani Karume amezungumzia fursa na haki ya Kikatiba ya kugombea urais wa Zanzibar na kama ana mpango wa kuitumia hivi karibuni. Akizungumza...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Mahmoud Kambona amesema, watumishi wasio na maadili ya kazi Wilayani humo wajiandae kuachia ngazi kutokana na mfumo na aina ya utawala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Formula inayopendekezwa kwenye mfuko mpya imefichwa, sheria haiitaji. Ni kanuni mbovu na inanyonga mafao. Leo mnapigia kelele fao la kujitoa liwekwe na wala hakuna anayefikiria kwamba...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama sio wiki Kadhaa au Mwezi uliopita, kulikuwa na Na Nyuzi nyingi sana zinazohusu mada Tajwa hapo juu. After short while zimetoweka. Sijui ni kwann watu walizipost kwa Wingi sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau, Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kwa dada zetu kubeba tissu hadharani(kwenye mabaa, migahawa, n.k) na kuekekea uani (toilet ) bila shaka kujisadia. Binafsi sina tatizo na...
25 Reactions
154 Replies
16K Views
habari zenu wana jf ninaomba msaada kwa anayefahamu kampuni inayotoa mikopo ya magari nina weza lipa nusu ya bei.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
WAKATI MUAFAKA SASA LAZIMA WAKANDARASI WAHESHIMU PESA ZA WALIPA KODI MH WAZIRI HUSIKA TUNAOMBA LAMI INAYOWEKWA MAWASILIANO-MUGABE MUIKAGUE TUSIRUDI KULEE TULIPOTOKA MPAKA RC AKAANZA KUFUNGIA...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Naomba kujua nini maana ya nembo hii kwenye bidhaa mbalimbali?
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina hoja Niliyoandaa yenye kurasa 50 ya marekebisho ya Elimu ya Msingi yenye tija kujitegemea, na kufanikisha Tanzania ya viwanda ya kweli!!!! Niipeleke wapi ambapo itafanyiwa kazi?
0 Reactions
4 Replies
572 Views
Huu ni ukweli hawanyonyeshi wanaigiza tu...wamejitahidi mwezi1 Wapeni watoto haki zao
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Zimbabwe kabla ya kuanza kutunishiana misuli na Waingereza, uchumi wake ulikuwa uko juu na imara sana. Hata pale Zimbabwe chini ya Rais Robert Gabriel Mugabe alipoonywa mara kadhaa kuhusu athari...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama miezi minne iliyoita tulitangaziwa kuwa mvua kubwa itanyesha maeneo mengi ya nchi hasa Kanda ya Ziwa. Kwa kawaida mvua kwenye maeneo ya Kanda ya Ziwa huanza kunyesha mwishoni mwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
WaHehe kwanini mnaendelea kula mbwa!?? Why!??
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wasalaam, kuna makala niliisoma nikaona ni vema tutafakari wote km kuna ukweli katika hili. Inasemekana asilimia kubwa ya viongozi barani Africa ni eidha mafisadi, wezi, au madictetor. Nitaeleza...
0 Reactions
6 Replies
791 Views
Mimi ni mfugaji wa samaki ,changamoto kubwa ni chengo na paka,wanakula sana samaki. Chengo nimewadhibiti tayari,ishu ni paka,ndugu zangu paka anazamia kwenye maji wanachukua samaki.. Nimetumia...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa...
1 Reactions
99 Replies
15K Views
Kila binadamu ana jambo lake analotamani ambalo anawish afanye ila Mara nyingi vitu tunavyohitaji vinakuwa nje ya uwezo... Niliwahi kumuliza mjapani mmoja yeye imani yake ya dini ni ipi na...
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…