Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huenda ukawa umezoea na kuboreka na foleni ya jiji la Dar Es Salaam ambalo wakati mwingine inaweza kukugharimu kwa zaidi ya saa moja kukaa katika foleni kutoka Tegeta hadi Posta, hususani mvua...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Imekuwa kawaida kwa vijana wengi siku hizi kupenda kunyanyua vyuma ili kujenga mwili wenye misuli mikubwa na muonekano mzuri. Utamaduni wa kubeba vitu vizito ili kujenga mwili wenye muonekano...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kuna dada anahadithia, Mtoto wake huwa halii mara kwa mara ila baada ya mama mmoja kuja kuwatembelea, mtoto kalia kama kaumwa nyoka, kila akimuangalia analia sana, tena kwa hofu na wasiwasi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna tukio afisa mtendaji wa kijiji cha igomba kata ya saja wilaya ya wanging'ombe amenusulika kifo baada ya kuvamiwa na kukatwa katwa na mapanga amelazwa hospitali ya Ilembula, chanzo cha taarifa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Vyombo kadhaa vya habari wiki hii vimeripoti kwamba Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amezindua kampeni iitwayo 'Nakupenda, unanipenda, usinishike mkono' ili Watanzania wasishikane mikononi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu, Awali ya Yote Napenda kuchukua nafasi kuwashukuru wote wenye mapenzi mema mlioniletea maji na mikate nikiwa ''keko''.Nawapenda sana!WANAOKWENDA JELA SIO WOTE WENYE HATIA...
0 Reactions
255 Replies
111K Views
huku mtaani umekua ni utamaduni,pindi mtu anaponunua gari hata kama ni vitz afu awe na kakitambi kalikojaa minyoo basi watu wataanza kumsema ooh jamaa keshatoka kimaisha. naomba kuwauliza,hivi...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Wataalamu wizarani na mitaani ni mabingwa wa kukatisha tamaa vijana kuwekeza kwenye viawnda lakini pia hawana taarifa halisi juu ya soko la korosho. kwa kusoma hii article na iwapo mh Magufuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi nisiyoipenda! Aisee kazi nisiyoipenda ni uaskari wa aina yoyote. Ukiwa askari, ule uhuru wako unamuuzia aliye juu yako. Wewe ukiamriwa hata ule tope utakula tu. Issue za kushinda nimevaa jezi...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Nimeshangazwa na habari zinazosema huko wilayani Handeni, mkoani Tanga, Halmashauri yao ya Mji wa Handeni, wameuza gari la kubebea wagonjwa kwa sh 950,000 tu. Hapa najiuliza lilikuwa gari au...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mtu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, Gene Cernan, alifariki dunia January 19 2017 akiwa na umri wa miaka 82. Alikuwa kamanda wa chombo cha safari za anga za juu cha Apollo 17 mwaka 1972 na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mpaka sasa sipati jibu ni kwa nini watawala wameruhusu biashara ndogondogo zifanyike kwenye vituo vya daladala na kwenye njia za waendao kwa miguu. Licha ya kuwa kero kwa watumiaji wa barabara...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Ikiwa ni usiku wa Jumapili tarehe 25, watumishi wa halmashauri hizo hawajalipwa mshahara wa February. Tuwaombee katika kipindi hiki kigumu.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
This goes to all Respected Jamii Forums Members: "ARE YOU ABLE TO NAME SOMETHING THAT WAS INVENTED AND USED ONLY IN TANZANIA?"
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Hii mitandao ya simu kweli inasumbua. Toka jana kama ulikuwa umehifadhi pesa yako M-Pawa huwezi kuitoa, utaitazama tu lakini huwezi kuitoa. Ukiwapigia voda unaambiwa ooh kuna matatizo subiri saa...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeshangaa kukuta picha za waziri wa maliasili na utalii akizindikwa na wazee wa mila, ambao wanaonekana pasi na shaka ni waganga wa kienyeji. ----- Hakuna maombi ama dua ambazo sikupokea...
0 Reactions
189 Replies
28K Views
*TITBITS FROM MoWTC-PM OPENING REMARKS :* -This EAC law has already been passed and starting date is January 2019. -Sensitization meetings to transporters will be done all over the country zones...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zaidi ya dola milioni 11 zinaripotiwa kutoweka kutoka kwa hazina ya taifa nchini Gambia, kufuatia kuondoka kwa kiongozi wa muda mrefu Yahya Jammeh. Jammeh alikwamia madaraka kwa karibu miezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale waliopitia Chuo cha reli Tabora RATCO. Tumepoteza Mwalimu wetu mpendwa Joseph Mulokozi aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…