Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juhudi za kisheria za mwanamume wa Uholanzi anayetaka kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa ili kuongeza uwezo wake wa kupata mchumba zimegonga mwamba. Emile Ratelband mwenye umri wa miaka 69...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nipo Germany mwaka huu sasa bado mambo nimazito so nilikuwa naomba msada kwa wote waliopo sweden,norway,finland!!namna ya kufika huko,,,,,,,kwenu wakuu wassalam!!! maana jama saiv wamekaza sana...
5 Reactions
194 Replies
21K Views
Kundi kubwa la wananchi wakiwamo waumini, wamevamia na kushambulia kwa mawe nyumba ya Mchungaji wa Kanisa la Sauti ya Uzima, Nabii Elia (36) wakimtuhumu kuwa ni mshirikina. Jina kamili la Nabii...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuonekana akicheza wimbo Mwanza wa msanii Rayvanny ambao umefungiwa, Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema kitendo hicho hakimaanishi kuwa...
3 Reactions
71 Replies
15K Views
Habari wakuu, Mimi ni mtumiaji wa hiki king'amuzi cha Startimes. Kuna hiki kifurushi kipya kilichoingia sokoni hivi karibuni kinachoitwa 'Nyota', Kiukweli kifurushi hiki kimejali hali ya mtu...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Najua hapa kuna member ambao wameajiriwa na wale ambao bado wanatembea na bahasha kusaka Ajira, Swali; Je uliutumiaje(kwa wale wenye ajira ) au utautumiaje(kwa wale wanaosaka ajira) mshahara wako...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nilibahatika wiki kadhaa nyuma kulazwa moja ya kituo cha polisi kikubwa tu hapa Dar..kiukweli asilimia kubwa niliokutana na watuhumiwa wenzangu walilazwa kituoni sababu ya wanawake kiufupi wapenzi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
tuna angalia mpira wa Simba hapa kiukweli hauja tulia
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Habari wana jamvi. Nataka kwenda pemba na marafiki zangu likizo ya x mass mwaka huu.. Naulizia wajuvi wa mambo kama kuna meli ambayo inatoka dar kwenda pemba au jinsi ya kufika pemba nafikaje...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Waliitana kwenye mitandao kwanini hawakupigiana simu kimya kimya
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Madereva wa daladala Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro wamesitisha kutoa huduma ya usafiri leo wakidai hawataki kuona bajaji katika maeneo yao. Daladala zenye mgogoro na bajaji sio zote bali...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Cameron Underwood anasema hakumbani sana na watu wanaomkodolea macho wale kumuuliza maswali tangu amabandikiziwe uso. "Niko na pua na mdomo kwa hivyo ninaweza kutabasamu, kuongea na kula chakula...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Mamlaka za China zipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari amabazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni. Kwamujibu wa maafisa wa serikali, harusi za kisasa si tu ni za gharama...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Yaani n kama atutakiwi kutembea hayamagari amalah mh LUGOLA EMBU TUSAIDIE HASA MKOA WA DAR ES SALAAM HAKUNA UHURU KABISA ANZA NA TEGETA NJOO MPAKA MWENGE..HUKI KATI N HATRE FIKA MASSANA KWENDA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maana hii imekua shida. Mtu unaelezwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila kila ukimaliza kusoma kuna bweg.e anabadili kitasa . Ngachoooka
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahakama Kuu kanda ya Mbeya imemuhukumu kwenda jela kifungo cha miaka 10 Askari wa Jeshi la Polisi G.4079 PC Juma Nestory (28) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa ofisa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wamiliki na madeleva wa daladala mkoani Njombe wametii amri ya SUMATRA na kurejea barabarani kuendelea kutoa huduma mara baada ya kuwa na mgomo huku wakisitisha huduma zao kwa siku sita wakihitaji...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, Mbunge wa vunjo James mbatia, Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Bernard Membe kwenye msiba wa mama mzazi wa Askofu Gwajima
2 Reactions
87 Replies
19K Views
"na lihimidiwe jina la MUNGU mile na milele kwakuwa HEKIMA na UWZO ni wake, Yeye hubadili Majira na nyakati, Huuzulu Wafalme na kuwamilikisha Wafalme, huwapa hekima wenye hekima, huwapa wenye...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…