Kutokana na kina cha bahari ya Hindi katika eneo la Mnazi Bay Msimbati mkoani Mtwara kuendelea kumomonyoka siku hadi siku kuelekea nchi kavu, huenda nchi ikajikuta gizani kama hatua za haraka...
Efforts in bringing about tangible economic development in Tanzania
by the Fifth Phase Government under His Excellency Dr John Pombe Magufuli are increasingly being made following the completion...
Hiyo ni kauli ambayo sasa inadhihirika wazi kwa mwenendo wa biashara hasa serikali inayowaza kodi bila malengo.
Eti juzi kiongozi ndio anajua kodi ni kubwa wakati wafanyabiashara wadogo na wa...
Aisee watu wa kigoma wanaisubiri hiyo treni ya umeme kuliko kawaida ila sidhani kama jpm atakamilisha mradi huu anyway kila laheri watu wa kigoma muombeeni magufuli akamilishe huo mradi japo naona...
Wakuu nna shida kidogo naomba msaada. Nategemea kwenda Tanga wiki ijayo kwa shughuli binafsi. Naomba mwenye kujua hoteli au lodge nzuri ya kisasa ambayo naweza kufikia. Bajeti yangu ni 30,000 -...
Haya mambo yameanza tena kweli uchumi unakua kwa kasi chini ya Serikali ya awamu ya tano.
Kilo ilikua 2400 sasa hivi ni 2800 kwa kilo
Sehemu nyingine kilo mpaka 3000.
Jee kwa hili huyu jamaa...
Hali ya ki uchumi kuanzia ngazi ya familia na mtu mmoja mmoja hapa nchini imekuwa mbaya sana.
Kwa mtu muoga wa maisha ambae rahisi kukumbwa na msongo wa mawazo/stress mpaka kufikia 2025 tunaweza...
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limewakamata watu watano wanaodaiwa kuwa majambazi kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia za Sh2.83...
Kumekuwa na utaratibu mzuri ambao serikali imeweka katika namna moja au nyingine ya kukusanya mapato ya Serikali kwa kupitia moja chanzo chake kwa upande wa polisi wa Barabarani (Traffic)...
"Katika mahojiano na redio Nyemo FM leo Dodoma nimesisitiza kasi ya Rais @MagufuliJP katika kupigania Tanzania kunufaika zaidi na madini imeanza kuzaa matunda; mapato sekta ya madini yameongezeka...
Niko nasikiliza wimbo wa Lulu Diva na Rich mavoko, ule unaoitwa 'Ona'
Ila kuna sehemu Lulu diva anaimba hivi
"Nimekulia Yamini"
Kwamba amekula Yamini kwaajili ya Mavoko, ila sijajua Yamini ni...
ni mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka huu shule moja hivi ya kata,na kapata D zote na C moja yaani ana div 4 ya 27 alikua science,alitaka kwenda uhasibu singida nikaona soko la ajira ni gumu sana...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametoa siku saba kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuondoa nguzo za umeme zilizopo katika hifadhi ya barabara ili...
Wanaume wawili wakiwa na gari aina ya Prado wakamatwa huko Mombo wilaya ya Korogwe mkoa wa Tanga ,katika jaribio la kumtapeli mfanyabiashara kwa jina maarufu Sheshe ,wakijifanya ni maafisa wa TRA...
HATIMAYE mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Salum Almas (28), unatarajiwa kuzikwa leo ikiwa ni siku takribani ya 50 tangu kuuawa na polisi kwa tuhuma za ujambazi.
Almasi...
Ilikuwa ni mida ya saa nane kuelekea saa tisa mchana alasiri ya leo ambapo wapiganaji wetu wanajeshi wa jeshi la ulinzi la Tanzania wakiwa katika mazoezi yao ya nyika au safari ndefu na wakati huo...
Wakuu hali zenu!
Leo hii nimeonaPolisi wakishughulika na Nabii TITO kwamba anakashifu dini nyingine. Nadhani Kuonesha kwamba serikali haiwafurahii watu wanaojenga chuki katika jamii zetu...
Habari wakuu,kadili siku zinavyoenda kumekuwa na mageuzi makubwa ya kitechnologia,na kuleta manufaa makubwa.
Kwa sasa dunia na nchi yetu kumekuwa na matumizi ya hizi ndege tiara(drone),kwa...