Leo umeamka nae. Mimi nanunua 2500 kitambo haijapanda badoHaya mambo yameanza tena kweli uchumi unakua kwa kasi chini ya jiwe letu
Kilo ilikua 2400 sasa hivi ni 2800 kwa kilo
Sehemu nyingine kilo mpaka 3000.
Jee kwa hili huyu jamaa anatufaa?jibu ni kwamba hatufai kabisa