fexcash
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 557
- 1,050
"Katika mahojiano na redio Nyemo FM leo Dodoma nimesisitiza kasi ya Rais @MagufuliJP katika kupigania Tanzania kunufaika zaidi na madini imeanza kuzaa matunda; mapato sekta ya madini yameongezeka kutoka lengo na makusanyo ya chini ya TZS 194bn hadi makusanyo ya TZS 301bn". Msemaji mkuu wa serikali amesema haya leo.