Salam wakuu!!
Ni mda wa weekend, Wanaeuropa wamejipumzisha kwa style mbalimbali kulingana na kipato chao kinavyo waruhusu.Ndani ya Europa kuna matatizo mbalimbali kiuchumi,kisiasa na...
Mie nahisi mnamtumia Membe kumtumia ujumbe Magufuli alegeze kamba na si kweli mmemchoka Magufuli,,,,mna love hate relationship na Magufuli...lol mnamkubali na ma flyover yake ndio maana wengi wenu...
Habari ndugu Watanzania wenzangu popote mlipo nawasalimu sana. Nawapa tahadhari kubwa kuhusu utapeli mpya ambao unaendelea kufanywa na baadhi ya matapeli hapa nchini na umeumiza watu wengi na...
RAIS MAGUFULI ANAHITAJI KUOMBEWA, TUMUOMBEE!!
Nimesikiliza hotuba ya Rais Magufuli, ile ya Ikulu kuhusu siku ya Uhuru wa Tanganyika. Nimeitazama tena na tena ile video, kila nilipoirejea nilipata...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita imemfikisha mahakamani raia wa China kwa kosa la kumshawishi mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel ili ampe rushwa ya Sh1milioni...
Kuna watu hufanya kilimo na shughuli nyingine kwa kufuata utabiri wa TMA. Hii ni mamlaka yenye majukumu ya kutueleza nini kinatarajiwa kutokea baada ya muda Fulani. Sasa naombeni popote...
Wakuu,hebu tukumbushane kuwa duniani tunapita tu,hivyo tutendeane mema na tusameheane, kupitia list hii tutakayoitaja najua kuna matajiri,wazuri,wabaya,maskin n.k waliotutangulia,itupe chachu ya...
Sasa hivi local channel TV inayo tamba kwa sasa ni TBC kwani inapatikana katika ving'amuzi vyote. Lakini TV channels nyingi zimeondolewa katika ving'amuzi vingi vikuu hivyo kupoteza zaidi ya...
Nimekuja kugundua wanaolalamika kwamba pesa hakuna Ni wavivu wasiopenda kazi au hawajifunzi dondoo za kutembea nazo nyakati hizi ambapo uchumi wa dunia yote unatetereka kutokana na ushindani wa...
Mungu ibariki Tanzania na Afrika mzima[emoji120]
Watz wote muwe na maadhimisho mema ila swali langu ni je, maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika Watanzania tumenufaika nini na serikali yetu?
Jana jioni nasikia imetokea ajali mbaya iliyopelekea roho za watu watatu waliokua mshikaki kwenye boda boda kugongwa na basi là drt mwendokasi na kupoteza maisha On the spot
Kutokana na ufinyu wa...
Serikali imeipa miezi miwili Bodi mpya ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kuwachukulia hatua watumishi waliohusika katika ubadhirifu, upotevu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ambao...
Habari wana JF,
Acha niende kwenye hoja moja kwa moja, bila kupoteza muda.
NI dhahiri kwamba nchi za Ulaya zinaongoza kwa burudani ya mapenzi (ngono) duniani, japokuwa watu huisahau Malaysia...
MAAJABU YA NDEGE TAI!
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,
yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu. Akifikia umri wa...
Maana kujifungua kwa uchungu ni adhabu nadhani iliyotolewa na Allah, sasa je, wanadamu wanataka kudodge adhabu hii iliyotolewa na the most high kwa kujifungua huku wanapigishwa umbea na manesi...
Rafiki zangu mada hii inahusu mambo ya utafutaji na inalenga zaidi maisha na uhalisia wa maisha ya kujitafutia kabla ya kufanikiwa.
Karibuni sana,
Sio kila mtu unaemuona anamiliki maduka,majumba...