Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Habari za wikiend wapendwa wangu..
Mimi nimuajiriwa katika sector fulani serikalini,.. Kazi niliyonayo kwakweli ina changamoto sana. Yaani kuipata nafasi ya kula bata ni nadra sana,.. Hivi karibuni nimebahatika kukaa kwenye nafasi moja ambayo imenifanya kuwa karibu na wakubwa na pia kujua kujua kila mmoja tabia zao.
Kwakweli nafasi hayo imefanya niwe nalala sana kiasi ya kwamba mpaka wafanyakazi wananipiga majungu,.. Na pia kutaka msaada kupitia kwangu wakijua najua kila kitu kwa kuwa nipo sehemu na wakubwa.
Nirudi kwe mada,.. Ni kwamba mda wa kufanya ni mdogo mno kuliko mda wa kulala,.. Nalala mpaka najisikia kuumwa na pia najisikia aibu kwa wenzangu nikihisi kwamba wataanza kunambia najisikia kumbe hapana.
Kwa siku nafanya kazi kama masaa matatu yaliyibaki ni kulala hadi naumwa huku wenzangu kazi zikiwaelemea na kuanza kuniona kwamba mimi ndo nimewapangia.
Muwe na wikiend njema ambao mmepata bahati ya kupumzika makazini siku ya leo.