Lisemwalo lipo km alipo...

Lisemwalo lipo km alipo...

Rubawa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
2,055
Reaction score
3,267
BREAKING NEWS
WASIRA AZUIWA KUINGIA KWENYE KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KINACHOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM KWA KILE KILICHODAIWA NI TAARIFA ZA SIRI KUHUSIANA NA YEYE KUPINGA MAAMUZI YA HALMASHAURI KUU KUAZIMIA MEMBE KUFUTWA UANACHAMA WA CCM.
ALIPOFIKA GETINI WALINZI WA IKULU WALIMWELEZA KUWA HAWANA TAARIFA YA YEYE KUWA SEHEMU YA WAALIKWA KWENYE KIKAO HICHO, NDIPO ALIPOMPIGIA KATIBU MKUU DR. BASHIRU ALLY SIMU NA KUJIBIWA KUWA NI MAAGIZO YA MWENYEKITI WA CCM...
 
Naunga mkono kwa 100%.
😊😊 huu unaweza kuwa mchezo mchafu tu wa maccm...jana kuna Prof mmoja alikua ananiambia..angalien sana cdm mnaeza hisi membe anataka kuchukua nchi kumbe ni janja ya ccm...si unaona yanayotokea sasa!Mbowe yupo ndani wengine wanaenda kwa jpm sijui kuzindua makitu gan ati kuunga juhudi km sio mapandikizi ni nn😢😢😢
 
[emoji4][emoji4] huu unaweza kuwa mchezo mchafu tu wa maccm...jana kuna Prof mmoja alikua ananiambia..angalien sana cdm mnaeza hisi membe anataka kuchukua nchi kumbe ni janja ya ccm...si unaona yanayotokea sasa!Mbowe yupo ndani wengine wanaenda kwa jpm sijui kuzindua makitu gan ati kuunga juhudi km sio mapandikizi ni nn[emoji22][emoji22][emoji22]
Yaani mkuu mimi naamini kabisa jamaa nipandikizi aliyekubuhu na ukweli siku akipewa kupeperusha bendera kupitia Chadema ndipo siku hio mimi binafsi ntaacha kushangilia mambo ya siasa na ntajiona fala sana kupoteza muda wangu.
 
Jembe lolote toka mkoani mara haliogopi kitu, itakuwa amewaonea huruma akakubali kuzuiliwa ila wasijigambe sana kuwa wamemzuia. Majembe toka mkoa mzima wa mara wapo vyema kila idara😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom