Meli Kubwa yafunga Gati Mtwara kwa mara ya kwanza

Yah nilitaka kujiuliza hii meli nilikutana nayo wapi!

Siku moja imenipita Sekenke ikiwa na shehena ya mizigo.
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu
 
Meli kubwa yenye uwezo wa kubeba magari 600 mali ya Dangote imewasili Manispaa ya Mtwara, Imeelezwa Meli hiyo imeweza kutia nanga bandarini hapo mara baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuifanyia marekebisho Bandari hiyo na kuongeza ufanisi zaidi.

Hapo mwanzo wa simulizi yake ametia chumvi ati magari 6000!!
 
Kwa bandari ya mtwara inaonekana ni meli kubwa,ila hiyo ni meli ya kawaida sana kwa bandari za huku kwetu,
 
Tanga Dar Mtwara.. Hawa mabeberu watuache kwanza hadi 2030.. Tunahitaji kutuliza vichwa kusuka nchi yetu.
 
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu
Haha eti hazina kwahiyo dogo anaserereka mjini sababu ya papuchi ya dada yake?
 
Majizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .

Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.
 
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu
Noma sana!
 
Nafikiri we ubongo wako umejaa tope
kutwa kuweza chadema!
 
Ni jambo jema,ila tujuzeni kwa anayejua imeleta magari take au imekuja kuchukua korosho ama imekuja kuchukua saruji?
 
Majizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .

Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.
Wazungu wanachangia asilimia 40 ya bajeti yenu! Kiasi cha fedha kinachotolewa na serikali kwenda kwenye miradi ya maendeleo ni asilimia 40 tu ya mahitaji!! Kwa hiyo ni kweli ukisema kuwa wazungu wanachangia bajeti yenu kwa 100%!! Hiyo ndiyo historia ninayoijua ya wazungu
 
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu
Inakuuma mimi kukaa kwa shemeji yangu!
 
Meli kubwa yenye uwezo wa kubeba magari 600 mali ya Dangote imewasili Manispaa ya Mtwara, Imeelezwa Meli hiyo imeweza kutia nanga bandarini hapo mara baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuifanyia marekebisho Bandari hiyo na kuongeza ufanisi zaidi.
Kwan hamuwez kufanya kitu bila ya kusema hii ni Serikali ya awamu ya Ngapi.....? Ni nan kati yetu asiyejua hii ni awamu ya ngapi....? Shame on you..🙄🙄
 
Back
Top Bottom