Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa ametangaza uteuzi wa Profesa Egid Beatus Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, nafasi...
Barabara ya mwendo kasi kama zinavyojulikana zipo kwa kazi maalum. Pameibuka tabia ya hawa vijana wa bodaboda kuzitumia kama njia. Kwakuwa wanayawahi magari ya mwendo kasi nao huenda kwa kasi...
Siku hazilingani ndugu zangu japo zote zina masaa 24.Habari za wakati huu.
Leo,katika kutafakari juu ya mambo kadhaa ya kawaida kabisa ,nimejikuta ninawaza juu ya hawa 41.54%(inaweza rekebeshwa)...
Nimekuwa najiuliza ni kwanini wakristo walokole kila tatizo lolote wanasema ni nguvu ya shetani.
Hata mtu akiwa na ugonjwa wa akili wa kurithi bado watakuambia ni shetani.
Unakuta hata kama...
Amani iwe nanyi ndugu zangu wote.
Kumekuwa na maneno kwa baadhii ya waislamu kuhusu kushika nyadhifa mbalimbali za serikali wengi wao wakiwa sio waislamu.labda mimi nitoe neno kwa kusema.
Kudai...
Bilioni 8.1 ya fedha za serikali zilizotengwa katika bajeti ya mwaka 2018-2019 na kukabidhiwa kwa wakala wa barabara vijijini (Tarula) mkoa wa Njombe zimekwisha anza kutumika katika halmashauri...
"aliposimama hapa kazungumzia Demokrasia,(mpinzani) sijui demokrasia gani anataka, tumekaa hapa CCM, CHADEMA na CUF, ameitwa kwenye mkutano ambao Rais ni Mwenyekiti wa CCM anazungumza, sijui...
Nawaona Rais wa Rwanda na Kenya Huko kwenye mkutano wa Africa Europe Forum 2018 Vienna Austria, Swali langu linakuja Nchi ya Rwanda inaweza ikaalikwa na nchi ya Tanzania isialikwe kweli ? kama...
WAKUU,
S'KILIZENI KWANZA HAPA;
"UTAPATA SHIDA SANA IKIWA UNAFANYA KITU {HASA MSAADA} KWA MTU/WATU WENGINE,
HUKU UKITARAJIA NAO WAKUFANYIE HIVYO PIA,
AU JAPO WAKUSHUKURU AU WATAMBUE/KUTHAMINI...
TAHADHARI ya Mvua Kubwa imetabiriwa kwa maeneo ya mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Ruvuma na Morogoro kusini. Tafadhali CHUKUA TAHADHARI UWEZEKANO WA KUTOKEA: WA MKUBWA
KIWANGO CHA ATHARI...
Maaskofu watatu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ‘wametengwa’ na kanisa hilo kwa tuhuma za usaliti unaohusishwa na masuala ya kisiasa.
Mbali ya Askofu wa Dayosisi ya Mashariki...
jiwe punguza misifa sio kila kitu ukizindue wewe waachie saa nyingine waachie watendaji wako wafanye huo uzinduzi kwa mfano huu uzinduzi unaofanyika leo hapa kimara unaleta usumbufu pasipo sababu...
Wakuu nilipita barabara mbovu kuwahi kushuhudiwa duniani huku kyela nilienda kwenye msiba furani pale Tenende. Katika maongezi ya hapa na pale nilisikia habari za ujenzi wa ukingo wa mto Mbaka...
Nilikata tiketi online juzi to Mwanza ndege ya leo asubuhi saa 12. Jana usiku saa saba nikapata sms ndege ya asubuhi imefutwa hadi saa 11.25.jioni. Nimewahi Airport saa 8 mchana nikaambiwa hakuna...
Haka ni kapaka kangu nakalea sema mda unavyozidi kwenda huwa kananiacha hoi maana kana tabia za ajabu, kwanza kanapenda kulala sehem moja na mimi Bosi wake
Hata nikifunga neti Katapenya kibabe...
WanaJF naomba nijulishe wadudu aina ya senene hutokea wapi?Maana hapa kwetu Bukoba hutokea kwa musimu nyakati nyingine hawaonekani.Huko wanakokuwa karibu miezi 6 ni wapi wanakula nini wanazaana...
Msemaji wa klabu ya Ruvu shooting usiku wa kuamkia leo, majira ya saa tano alikutana na vibaka maeneo ya Mlandizi, mara baada ya kuachana na marafiki zake waliokuwa wakipata moja baridi moja moto...
Habari za asubuhi wakuu!
Nimekua mtumiaji mzuri sana wa hii energy drink mara tu baada ya dragon kupotea sokoni, sasa miezi mitatu iliyopita nikawa naona mabadiliko sana kila nikitumia naumwa...
Naleta hoja hii nikiwa na maumivu Makali sana moyoni.
Watumishi wa wizara ya afya serikali kuu hawafanyiwi sawa kabisa. Upo uonevu wa hali ya juu sana. Nayasema haya kwa kuzingatia hoja zifuatazo...