MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Siku hazilingani ndugu zangu japo zote zina masaa 24.Habari za wakati huu.
Leo,katika kutafakari juu ya mambo kadhaa ya kawaida kabisa ,nimejikuta ninawaza juu ya hawa 41.54%(inaweza rekebeshwa) waliowapigia kura wagombea wa nafasi za urais wa JMT kupitia vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kama sitakosea,mshindi wa nafasi hiyo alipata 58.46% ya kura zote halali.
Nimejikuta ninawaza, 41.54% ya kura zote halali zilizopigwa(inaweza rekebeshwa) si haba,ni zaidi ya kura 6,000,000 zilizopigwa na watanzania halali na wenye umri sahihi na wasio na matatizo ya akili(vichaa).
Nimejikuta ninawaza, Je,hawa hawakuwa na hoja za msingi kuliko zile zinazotolewa na wale wasiohitaji uwepo wao?
Karibuni....