Wakuu wa nchi wakutana Vienna, Austria (Africa Europe Forum 2018) sisi tuko wapi?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Nawaona Rais wa Rwanda na Kenya Huko kwenye mkutano wa Africa Europe Forum 2018 Vienna Austria, Swali langu linakuja Nchi ya Rwanda inaweza ikaalikwa na nchi ya Tanzania isialikwe kweli ? kama hatujaalikwa tatizo ni nini, tumewakosea nini.

48356401_10155571672182282_1534858399185895424_o.jpg
48366923_10155571672277282_2553607719625949184_o.jpg
48368963_10155571672167282_5342517885442981888_o.jpg


48407653_2440627785965760_4484635718966050816_o.jpg
48375256_2440627972632408_4943184616673509376_o.jpg
48398019_2440627779299094_5219090313586409472_o.jpg
48372033_2440627625965776_7016143074485075968_o.jpg
48383556_2440627759299096_5647391453140221952_o.jpg
 
Hapa ni lazima watanzania tuhoji kulikoni?
Mikutano mikubwa ya kimataifa kama hii ndio sehemu muhimu na sahihi za viongozi wetu kuonyesha ukomavu wao kiutawala.
Ajitokeze Waziri Mahiga,Msemaji wa Serikali Dk.(?)Abbas na mwingine yeyote watuambie awamu ya tano wanaipeleka wapi Tanzania.
Akina Kenyatta na Kagame wapo Vienna Austria wanajadili mustakabali wa mataifa yao ....Rais wetu na PM wanaendeleza mihadhara ya kidini na kuomba misikiti ikifunguliwa waalikwe.....tutafika kweli???
Nchi imekosa muelekeo kila siku ni porojo zile zile za tangu 2015 hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom