KANUNI YA KUTOA MSAADA KWA WENGINE

KANUNI YA KUTOA MSAADA KWA WENGINE

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
WAKUU,
S'KILIZENI KWANZA HAPA;

"UTAPATA SHIDA SANA IKIWA UNAFANYA KITU {HASA MSAADA} KWA MTU/WATU WENGINE,
HUKU UKITARAJIA NAO WAKUFANYIE HIVYO PIA,
AU JAPO WAKUSHUKURU AU WATAMBUE/KUTHAMINI MCHANGO/SAPOTI YAKO.

TAMBUA KUWA MOYO/NAFSI ULIYO NAYO WEWE,
SIO SAWA NA ILE ALIYO NAYO YULE UMSAIDIAYE,

HATA MAWAZO, MAONO, FIKRA NA MTAZAMO YENU YAWEZA KUWA TOFAUTI PIA.

_
FANYA FADHILA KAMA SEHEMU YA AMALI NJEMA,
NA KUDHIHIRISHA KUGUSWA NA MATATIZO YA WENGINE-
BILA KUJALI KUWA UTAPATA MAFAO KUTOKA UPANDE WA PILI AU VINGINEVYO,

KWANI ITAKUPOTEZEA MUDA NA MIPANGO YAKO ENDELEVU PIA."

ANGALIZO:
TUSICHOKE KUSAIDIANA BILA KUJALI MAPOKEZI YA MISAADA YETU YATAKUWAJE KWA WENGINE.

>>Tenda Wema Uende Zako,
Usingoje Shuk'rani.
SAYS
KAKA'ENU HAPA.

//MSININUKUU VIBAYA//
.
 
Sasa utaitwaje msaada kama unategemea malipo? Kutoa kwa namna hiyo ni sawa na kukopesha

Nashukuru kwa pande wangu nikimsaidia mtu napata furaha kama vile nakaribia kumwaga bao [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom