Hatari sana kwa uchumi wetu

Hatari sana kwa uchumi wetu

majutobeach

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
212
Reaction score
164
jiwe punguza misifa sio kila kitu ukizindue wewe waachie saa nyingine waachie watendaji wako wafanye huo uzinduzi kwa mfano huu uzinduzi unaofanyika leo hapa kimara unaleta usumbufu pasipo sababu yeyote fuleni nikubwa sana foleni imefika picha ya ndege haya yote ni sababu yako ya kupenda sifa nakuonekana kwenye media kila siku tunaona sura hiyohiyo tu mpaka tumeikinai mawaziri hatuwaone mawaziri tumawaona kwenye miyemko tu ya kutia watu ndani bas sio uzinduzi wowote mzee jiwe punguza misifa tumekuchoka waachie watendaji wako hii foleni inaumiza sana watu kuna wagonjwa kuna watu wanaenda kujifungua wamekwama hii yote sababu ya misifa unatupa tabuna mzee baba mambo kama haya bora ungefanya jumapili mapema kuliko kufanya siku za kazi kama hizi mzee baba
 
Mnaye nawaambia, ndio tabia ya watu wale... misifa kibao na kelele nyingi, ubabe, na kujifanya unajua kila kitu hata kama hujui, kweli uchumi wetu utakwisha, lakini sifa mtu atapata saaaana!
 
Ndomaana mnyika kamchana Leo, mnyika kamfanye jiwe abadili hotuba yooote ya Leo ajibiwe yy tu
 
Maandalizi ya uzindu kama huu hutumia pesa kubwa sana ya walipa kodi, ila tunategemea nini Raisi ni Jiwe hivyo lazima azindue mawe.
 
Myika ajiandae kutafuta uraia
kiongozi mbali ya uraia na ubunge atahakikisha haupati yule jamaa hapendigi kukosolewa sijui hajui maana ya demokrasia nazani demokrasia kwake anaitafsiri kama demokisasi
 
Analazimisha na upinzani tumsifie, hiyo siyo kazi ya upinzani
 
jiwe punguza misifa sio kila kitu ukizindue wewe waachie saa nyingine waachie watendaji wako wafanye huo uzinduzi kwa mfano huu uzinduzi unaofanyika leo hapa kimara unaleta usumbufu pasipo sababu yeyote fuleni nikubwa sana foleni imefika picha ya ndege haya yote ni sababu yako ya kupenda sifa nakuonekana kwenye media kila siku tunaona sura hiyohiyo tu mpaka tumeikinai mawaziri hatuwaone mawaziri tumawaona kwenye miyemko tu ya kutia watu ndani bas sio uzinduzi wowote mzee jiwe punguza misifa tumekuchoka waachie watendaji wako hii foleni inaumiza sana watu kuna wagonjwa kuna watu wanaenda kujifungua wamekwama hii yote sababu ya misifa unatupa tabuna mzee baba mambo kama haya bora ungefanya jumapili mapema kuliko kufanya siku za kazi kama hizi mzee baba
anasema hapangiwi.
 
Back
Top Bottom