Fastjet mkiniona hata nakaribia ofisi zenu mnimwagie maji moto

fish 2

Senior Member
Aug 3, 2018
179
383
Nilikata tiketi online juzi to Mwanza ndege ya leo asubuhi saa 12. Jana usiku saa saba nikapata sms ndege ya asubuhi imefutwa hadi saa 11.25.jioni. Nimewahi Airport saa 8 mchana nikaambiwa hakuna Ndege Leo mpaka kesho saa 11.30 jioni. Na pesa hawawezi rudisha kwa leo mtandao unasumbia. Nimemuona shetani na ndugu zake wote wananiita. Wallahi.
 
Hio hela ulio lipia kwenye fast jet nakushauri uende kozi ya mwezi mmoja ukajifunze kuandika
Maji moto ndo nini sasa
 
Nilikata tiketi online juzi to Mwanza ndege ya leo asubuhi saa 12. Jana usiku saa saba nikapata sms ndege ya asubuhi imefutwa hadi saa 11.25.jioni. Nimewahi Airport saa 8 mchana nikaambiwa hakuna Ndege Leo mpaka kesho saa 11.30 jioni. Na pesa hawawezi rudisha kwa leo mtandao unasumbia. Nimemuona shetani na ndugu zake wote wananiita. Wallahi.
Ungepanda jm luxury ungekua ushafika tayari mkuu
 
HUU UZI UNGEKUWA UNAHUSU AIR TANZANIA(ATCL) SASA HIVI UNGEKUWA UNAKIMBIZA IDADI YA COMMENTS 200, 300, 400 HIVI NA UCHEE KWA JINSI NINAVYOJUA SISI WATANZANIA TUNAVYOPENDA KUONESHA UKILAZA WETU HATA KATIKA VITU VYA MSINGI.

USINIULIZE KWANINI NA WALA SITAKI KUJUA SABABU ZA MSINGI NI NINI HASA.
 
Nilikata tiketi online juzi to Mwanza ndege ya leo asubuhi saa 12. Jana usiku saa saba nikapata sms ndege ya asubuhi imefutwa hadi saa 11.25.jioni. Nimewahi Airport saa 8 mchana nikaambiwa hakuna Ndege Leo mpaka kesho saa 11.30 jioni. Na pesa hawawezi rudisha kwa leo mtandao unasumbia. Nimemuona shetani na ndugu zake wote wananiita. Wallahi.

A very pretty issue just handle it as a man
 
HUU UZI UNGEKUWA UNAHUSU AIR TANZANIA(ATCL) SASA HIVI UNGEKUWA UNAKIMBIZA IDADI YA COMMENTS 200, 300, 400 HIVI NA UCHEE KWA JINSI NINAVYOJUA SISI WATANZANIA TUNAVYOPENDA KUONESHA UKILAZA WETU HATA KATIKA VITU VYA MSINGI.

USINIULIZE KWANINI NA WALA SITAKI KUJUA SABABU ZA MSINGI NI NINI HASA.
Naunga mkonyo hoja,saa hizi tungeshakua na comment hata milioni na zote negative kwa shirika letu pendwa la atcl
 
Pole sana,
Nilisafiri na fast jet 2016 kwenda mwanza , ndege ilipaswa kuondoka saa 9 alasiri,
Nikiatumiwa text ndege itaondoka saa 2 usiku, nashukuru mungu niliweza kusafiri lakini nilikosa mwenyeji wangu
 
HUU UZI UNGEKUWA UNAHUSU AIR TANZANIA(ATCL) SASA HIVI UNGEKUWA UNAKIMBIZA IDADI YA COMMENTS 200, 300, 400 HIVI NA UCHEE KWA JINSI NINAVYOJUA SISI WATANZANIA TUNAVYOPENDA KUONESHA UKILAZA WETU HATA KATIKA VITU VYA MSINGI.

USINIULIZE KWANINI NA WALA SITAKI KUJUA SABABU ZA MSINGI NI NINI HASA.
Uko sahihi kbs mkuu
 
Hivi vijishirika vitakufa mdogo mdogo.
Mwezi huu wanaingia tai wawili namely Airbus.
 
Nilikata tiketi online juzi to Mwanza ndege ya leo asubuhi saa 12. Jana usiku saa saba nikapata sms ndege ya asubuhi imefutwa hadi saa 11.25.jioni. Nimewahi Airport saa 8 mchana nikaambiwa hakuna Ndege Leo mpaka kesho saa 11.30 jioni. Na pesa hawawezi rudisha kwa leo mtandao unasumbia. Nimemuona shetani na ndugu zake wote wananiita. Wallahi.
Kumbe tulikuwa wengi mkuu nimemind kinomanoma wamenichelewesha kwenye meeting moja muhimu sana
 
Back
Top Bottom