Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani...
3 Reactions
75 Replies
8K Views
wiseboy utafiti na wadau wengine mnaoamini kwamba watu tumeubwa na Mungu naomba mnijuze aliyeumba uchawi ni nani? na mtu wa kwanza kueneza uchawi hapa duniani ni nani? Kama ni sheteni...
0 Reactions
48 Replies
33K Views
Habari wanaJf. Kumekuwa na tabia baadhi ya wanafamilia kukataza watoto wao wadogo kuzungumza lugha za asili ya makabila yao eti wakihofia kutozungumza kiswahili fasaha hapo baadae. Utakuta mtoto...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Mjadala: utata kati ya ‘’kuweka akiba’’ na ‘’tunaishi mara moja au maisha ndio hayahaya’’ Wasalaam, Ninauleta mjadala huu ambao kwa karne na miongo kadhaa wanadamu wamekuwa wakijitahidi kuishi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Dara es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh188.9bilioni kupitia mashine ya risiti za kielekroniki (EFD) inayomkabili mfanyabiashara Mustapha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Lile sakata la BASATA kumfungia Dimond & kundi lake la WASAFI kufanya maonyesho ndani na nje ya nchi "kwa muda usiofahamika" imegundulika kuwa ni "sinema" ingine ya kihindi iliyotengenezwa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi nipo taasisi binafsi,vipi wewe?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa habari, kuna vitu vinatia ghazabu sana , nimewalipa higher Education students loans board /HESLB balance yao yote na barua ya clearance wametoa nimpe mwajiri , well cha ajabu mpaka sasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MKUU wa Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Kippi Warioba, ametuhumiwa na wananchiwa Kijiji cha Chekereni Weruweru, Kata ya Kindi kuvamia na kuvunja ofisi ya kijijihicho na kuchukua nyaraka...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi, Salaam Tunapoelekea kuumaliza mwaka huu 2018; hebu tujikumbushe maneno, sentensi ama majina yaliyotumika zaidi mwaka huu. Nitaanza; Watapata tabu sana CCTV Hajulikani alipo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania kwanza, ujenzi wa miundombinu ndio kipaumbele chetu. Hiyo mishahara mtaipata tu, ngoja kwanza tushughulikie miundombinu ambayo ni faida kwetu na vizazi vyetu vijavyo. Mzee baba...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Kabla hujaingia kwenye mikataba ya ndoa, naomba nikupe wosia huu kama Babu yako. 1). Ujue ndoa siyo sanaa za maonyesho. Japo dini yako inakuhamisha anyhow, lakini kumbua athari za maamuzi...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Wasalaam, Kwanza nianze kwa watakia kila laheri na mandalizi ya sherehe za mwisho wa mwaka na pia kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2019 watanzania wote. kwa kumkumbuka rafiki, shemeji na mdogo...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Yeeees,ile issue ya kuletewa msaada wa ARV kwa hisani ya watu wa marekani ipo a minute away kupotea,tunasubiri tu kauli ya kishujaa kutoka kwa jiwe kwamba hii ni nchi huru isipangiwe cha kufanya...
32 Reactions
99 Replies
14K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaak Kamwelwe, amesimamisha likizo za marubani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) katika kipindi cha mwisho wa mwaka Amesema marubani wa ATCL ambao...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Tulianza kupigiwa story za local channels kuvunja Sheria zilipokuwa zinaonyeshwa kwenye ving'amuzi. Mara paapu tukaaminishwa tutaziona free Mara paapu tukaambiwa tutarejeshewa pesa zetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mifuko imetoboka. Jumamosi ni 22/12/2018 - mshahara ni ngumu kutoka ; Jumapili ni 23/12/2018 - mshahara ni ngumu kutoka. Ijumaa ni 21/12/2018 - haijawahi kutokea mshahara ukatoka tarehe 21...
4 Reactions
100 Replies
10K Views
JARIDA maarufu duniani la biashara la ‘Forbes’ limetoa orodha ya watu kumi maarufu walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2018. Orodha hiyo imejumuisha watangazaji, wanariadha, wanamuziki...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
SEHEMU YA PILI ZIFAHAMU SABABU ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KUKUJENGA ILI KUYAFURAHIA MAISHA. Katika sehemu ya kwanza niliangazia sana “baadhi tu” ya maeneo ambayo tunakuwa tunayatarajia sana kama...
20 Reactions
35 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…