Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

tajuka

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
44
Reaction score
24
Wapendwa habari, kuna vitu vinatia ghazabu sana , nimewalipa higher Education students loans board /HESLB balance yao yote na barua ya clearance wametoa nimpe mwajiri , well cha ajabu mpaka sasa bado nakatwa tu kupitia salary na napouliza mwajiri huku halmashauri ananiambia deni LA HESLB hutolewa na Utumishi tu !!, sasa nimefatilia kwa kuwatumia email hao utumishi waondoe but wanaishia kusema tunashughulikia tu deni halijafutwa na barua nimeshawatumia kwa mfumo wa utumishi , nifanyaje ili waweze kustopisha makati hayo au kama kuna MTU ana mdau kule utumishi ambae anahusika na idara hiyo anisadie kumfikia
Nchi hii

Msaada pls wadau!
 
Pole sana Mkuuu. Watafanyia kazi ingawa inachukua muda kidogo. Na endapo utakatwa ndivyo sivyo utaenda HESLB kudai makato yako yaliyofanyika kimakosa.
 
Wapendwa habari, kuna vitu vinatia ghazabu sana , nimewalipa higher Education students loans board /HESLB balance yao yote na barua ya clearance wametoa nimpe mwajiri , well cha ajabu mpaka sasa bado nakatwa tu kupitia salary na napouliza mwajiri huku halmashauri ananiambia deni LA HESLB hutolewa na Utumishi tu !!, sasa nimefatilia kwa kuwatumia email hao utumishi waondoe but wanaishia kusema tunashughulikia tu deni halijafutwa na barua nimeshawatumia kwa mfumo wa utumishi , nifanyaje ili waweze kustopisha makati hayo au kama kuna MTU ana mdau kule utumishi ambae anahusika na idara hiyo anisadie kumfikia
Nchi hii

Msaada pls wadau!
Pole mkuu.
Mi pia yalinikuta kama ya kwako hayo.
Ni pm nikupatie namba ya bwana mmoja.
Utampigia na utanipatia mrejesho.

Ninaamini atakusaidia kutatua changamoto.
 
Nipe kiongozi maaana nimechoka mbaya hapa na swala hili
 
UKIFANIKIWA KUSTOPISHA MALIPO YAKO NENDA HESLB NA VIELLELEZO VYOTE UKADAI MPUNGA WAKO WOTE WAKURUDISHIE HARAKA. SIKU HIZI WANARUDISHA HELA ILIYOZIDI.
 
sasa na wewe unawarudishiaje hela kwa mkupupuo? ukifa leo unadhani utaitwa shujaa?

mtumishi wa halmashauri na njaa zote unaanzaje kulipa kwa mkupuo au umelipiwa?

si ungezifanyia hizo hela mishe nyingine au unachukua washikaji mnakunywa shujaa na wasimbe.

nalogiauti
 
Wapendwa habari, kuna vitu vinatia ghazabu sana , nimewalipa higher Education students loans board /HESLB balance yao yote na barua ya clearance wametoa nimpe mwajiri , well cha ajabu mpaka sasa bado nakatwa tu kupitia salary na napouliza mwajiri huku halmashauri ananiambia deni LA HESLB hutolewa na Utumishi tu !!, sasa nimefatilia kwa kuwatumia email hao utumishi waondoe but wanaishia kusema tunashughulikia tu deni halijafutwa na barua nimeshawatumia kwa mfumo wa utumishi , nifanyaje ili waweze kustopisha makati hayo au kama kuna MTU ana mdau kule utumishi ambae anahusika na idara hiyo anisadie kumfikia
Nchi hii

Msaada pls wadau!
Ulilipa kwa mkupuo kwa sababu zipi ? Wakati watu wanahangaika na mikopo si ungewapa hiyo hela ili uwe unapata faida ? Kihelehele chako cha kutaka sifa sasa ngoja uhangaike si unahela nyingi ? Ulitaka kulipa halafu uwe inawatambia watu kuwa mimi nimewapa hela yooote ,wswe ni mjinga kabisa sifa zimekuponza ngoja sasa ulimie meno .

Suali ulipowalipa zooote ulikuja kutuuliza humu ? Sasa limekuchwea umeanza kulimia kucha unakuja kutaka msaada humu subiri hadi ulimie meno
 
Duuh! yaani mimi nataiwa karibu 18M halafu nikalipe kwa mkupuo, thubutuuu waendelee kukata hiyo hiyo 15% yao mpaka itapoisha.Halafu nasikia wanakopesha kwa ajili ya Masters kama umeanza kulipa atleast 24/12 monthly,hii ipoje wadau nataka NIONGEZE DENI LIFIKE HATA 50M ili watakata hata kwenye 75% itakayobakia kwenye PENSION baadaye huko.
 
Pole mkuu.
Mi pia yalinikuta kama ya kwako hayo.
Ni pm nikupatie namba ya bwana mmoja.
Utampigia na utanipatia mrejesho.

Ninaamini atakusaidia kutatua changamoto.
Ndugu nicheki pm unipatie au nicheki kwa WhatsApp number 0689 711 324
 
Ulilipa kwa mkupuo kwa sababu zipi ? Wakati watu wanahangaika na mikopo si ungewapa hiyo hela ili uwe unapata faida ? Kihelehele chako cha kutaka sifa sasa ngoja uhangaike si unahela nyingi ? Ulitaka kulipa halafu uwe inawatambia watu kuwa mimi nimewapa hela yooote ,wswe ni mjinga kabisa sifa zimekuponza ngoja sasa ulimie meno .

Suali ulipowalipa zooote ulikuja kutuuliza humu ? Sasa limekuchwea umeanza kulimia kucha unakuja kutaka msaada humu subiri hadi ulimie meno

Dada umechanganyikiwa au umefanywaje !???, uliza kwanza na uwe na heshima sio kila MTU wa kuropokea tu kama huwez kushauri nyamaza kimya sheria za jf huzijui au!??,

Ngoja nikwambie labda kwa faida maaana Nina upendo na nimekusamehe

Mimi walianza kunikata muda tu na kiasi kilichokuwa kimebaki ni laki 8 tu ndo nikaona niwalipe watoke ili nikope zaidi ya million 3 , ndicho nilichofanya hivyo sijapenda tabia yako ya kukurupuka wakati nimefanya kwa malengo maalum
 
Pole mkuu.
Mi pia yalinikuta kama ya kwako hayo.
Ni pm nikupatie namba ya bwana mmoja.
Utampigia na utanipatia mrejesho.

Ninaamini atakusaidia kutatua changamoto.
Mkuu sikupati mbona au unapatikana kwa namba zipi hasa?
 
Pole mkuu.
Mi pia yalinikuta kama ya kwako hayo.
Ni pm nikupatie namba ya bwana mmoja.
Utampigia na utanipatia mrejesho.

Ninaamini atakusaidia kutatua changamoto.
Mkuuu sijakupata nipatie namba maaana kimyaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom