MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Tulianza kupigiwa story za local channels kuvunja Sheria zilipokuwa zinaonyeshwa kwenye ving'amuzi.
Mara paapu tukaaminishwa tutaziona free
Mara paapu tukaambiwa tutarejeshewa pesa zetu tulizoibiwa
Mara paapu TBC ikabaki yenyewe kwenye ving'amuzi serious na local channels nyingine zikapotezwa
Mara duu tukahoji nani amelalamika popote kuhusu kulipia local channels?
Mara duu tukaambiwa ving'amuzi vinanyonya wananchi
Mara paapu local channels zikachomolewa kwenye ving'amuzi lakini makato ya mwezi yakabaki pale pale
Mara paapu tumebaki kuangalia habari za mataifa mengine na kuona kile kinapendwa na serikali kupitia TBC
Mara tiit tumenyimwa kupata habari mchanganyiko na taarifa huku tuliwalipa wenye ving'amuzi pesa ileile
Huu unaitwa ujima wa fikra ndani ya Karne ya 21 unaoratibiwa na maprofesa na madokta ambao hawaoni umuhimu wa kupanuka kwa mawasiliano na upashanaji habari bali wanaona umuhimu wa kulinda matumbo Yao.