occipito-frontalis
Senior Member
- May 28, 2017
- 134
- 71
BASATA kama mnaweza kukomesha vigodoro na singeli huku mtaani baadhi yetu vinakera, wamama, wadada na watoto wadogo wa kike wanakatika viuno vyao wengine uchi, wengine madela uchi hadi kero, ikiwezekana majukumu ya kukomesha vigodoro na ngoma zinazoharibu maadili ya mtanzania wakabidhiwe wenyeviti wa serikali za mtaa ili tupumue kidogo. Ni kero kero kero kero kero