Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napenda kuanza kwa kusema Jambo jema linapofanyika ni vyema kupongeza na kushukuru. Kama ni ukusanyaji wa kodi ulikuwepo tokea zamani lakini mambo hayakufanyika napendakwa namna ya pekee...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefika jioni pale Msamvu (stendi). Akatokea jamaa mmoja, .....aaah ticha vipi habari ya siku, najua unanikumbuka nilikuwa agent (wa basi hilo nililosafili nalo). Ulikuwa unakuja nakukatia tiketi...
10 Reactions
56 Replies
12K Views
Namna bora ya kuishi bila mawazo katika msimu huu wa sikukuu Namna bora za kuishi bila mawazo katika msimu huu wa sikukuu - MKUU ONE BLOG
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna watu ambao wanachuki binafsi Kwa rais wetu mpendwa John pombe Joseph magufuli, Mimi ninawaaambia kuwa watamchukia Lakini ipo Siku tu watamkibali huyu kipenzi cha wanyonge, hivyo nuna tu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
heshima kwenu wote wakubwa na wadogo leo nakuja na maada ya duniahaina huruma na usikae hata siku moja kusubiri huruma. nimedhirisha hili katika mambo mengi sana. niaelezea kiunaga ubaga maeneo...
13 Reactions
11 Replies
2K Views
Nisaidieni nijue maana yake GENTAMYCINE
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi ameonesha kushangazwa na madai ya kujikuta amelala kwenye makaburi mkoani Iringa, kitendo ambacho kinahusishwa na imani za kishirikina. Kupitia mtandao wake...
4 Reactions
64 Replies
20K Views
Jana katika taarifa ya habari mchana kwenye TBC nliona habari ikionyesha wananchi wa Sudan Kusini wakiandamana kwa sababu ya njaa inayotokana na kukosa chakula. Ni muda muafaka kwa Wizara mbili...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Likizo zimeanza...napenda kuitumia likizo hii kwa kupumzika na kuweka mwili wangu fit. Nahitaji partner wa kufanya naye mazoezi ya body building. Awe anaishi maeneo ya kuanzia tabata mangumi hadi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajulikana pia kama kuku wa kizungu ama kuku wa kufugwa. Ni tofauti na hawa kuku wetu wa 'kienyeji' kukipambazuka unawafungulia wanaenda wenyewe kuzurura hawa wa kufugwa masaa 24 wako bandani...
8 Reactions
110 Replies
11K Views
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira - JamiiForums Ndugu yangu, Kaka Yangu Am writing this from the deepest of my heart! ninaamini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC SwahiliTV saa tatu usiku huu mwanazuoni machachari Dr. Vicensia Shule amesema Basata haina uwezo wa kumzuia msaniii kufanya matamasha nje ya nchi, kwakuwa sheria...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefariki katika mtaa wa Mafumbo, manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya mwanaume kumuua...
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Katika hali ya kushangaza kabisa nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Biashara mpya wa eneo la Kimara kutokana kitendo changu kudai kutumiwa Ankara sahhi inayoonyesha kiwango...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Natumai nyote mu wazima, nami mzima kabisa hivi sasa namshukuru jalali kwa kunijaalia hii hali. Naomba nijongee moja kwa moja kwenye mada husika, ya kuwazungumzia hawa wanyama tuwafugao au...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana jf, Mpaka muda huu kuna foleni ya kutosha kwenye ATM mbalimbali watu wakisubiri kutoa pesa huku mshahara ukiwa Haujaingizwa.!! Kwa maeneo niliyopita kama ATM machine shoppers plaza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni maneno niliyoyasikia ndani ya gari linalotoa huduma kwa umma leo hii na nikasikia kauli inayofanana na hiyo nikiwa napata chakula kwenye mgahawa fulani (sina mazoea ya kula kwenye mgahawa huo...
1 Reactions
1 Replies
771 Views
Ukiwa katika tabaka la wapiga kura, maana yake ni kuwa utadanganywa na wagiwa kura ahadi kem kem wakati wa uchaguzi. Watakuambia wanaboredha huduma za elimu, maji, pembejeo, barabara, afya you...
1 Reactions
1 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…