Humphrey Polepole naomba pokea salamu zangu

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,472
Reaction score
4,723
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira - JamiiForums

Ndugu yangu, Kaka Yangu
Am writing this from the deepest of my heart! ninaamini sana katika busara zako naomba usifumbe macho.
Naandika nikijua wewe sio yule Polepole wa Katiba mpya ila nafsi yangu inaniambia wewe ni yule yule

Kaka ninaamini Mungu ambaye ni Mungu wetu sote alikupa utashi huo kwa sababu. na ni furaha kwa Mungu kama utatumia utashi wako kwa makusudio ya mwenyezi Mungu.

kaka hali huku mtaani sio nzuri kwenye sekta nyingi sana. hapa kwenye ajira ndio ninakosa hata pa luanzia ndugu yangu. wana Jamii forums naombeni kujua uwiano wa retrenchment na new employment kwasasa? majibu mnayo nyie.

kaka yangu nina uhakika una uwezo wa kukaa na mheshimiwa raisi mkanywa kikombe cha kahawa, wakati huo vaa ule utu Mwenyezi Mungu aliokupa wewe, ninaaamini kabisa hiyo nafasi uliyopewa sio kwa bahati mbaya Mungu alikua na makusudio yake na nahisi ndio wakati wake kuitumia.

hali ni MBAYA na ni MBAYA tena sana na inahitaji suluhisho la haraka.

mimi binafsi nashukuru sana kwa miradi hii ya maendeleo inayozinduliwa kila uchao ila kwasasa am sure over 50% ya makampuni Tanzania kwasasa hawalipi mshahara ontime. mimi hapa sijalipwa mshahara wa November hadi leo na ninataabika sana.

hili la kufunga mkanda tunaweza lakini huu mkanda matundu yameisha hadi sehemu ya kutobolea matundu hakuna.

hatuhitaji kuwekewa pesa mfukoni, tunahitaji waajiri wetu wawezeshwe waweze kutulipa. tunahitaji wawekezaji waongeze ajira.

kumbuka tu siku ya hukumu lazima mwenyezi Mungu atakuuliza nafasi aliyokupa uliitumia vipi?

Pole pole ndugu yangu, Tunateseka sana tena sana

kama nimekukosea nisamehe. nakutakia kila la kheri katika kutimiza majukumu yako
 
Ndugu Polepole, punguza Majivuno! Duniani tunapita - JamiiForums

Nilijua nipo peke yangu.

THE MOST HATED PERSON IN THE REPUBLIC OF TANZANIA.

NO.1 IS............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
 
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira - JamiiForums

Ndugu yangu, Kaka Yangu
Am writing this from the deepest of my heart! ninaamini sana katika busara zako naomba usifumbe macho.
Naandika nikijua wewe sio yule Polepole wa Katiba mpya ila nafsi yangu inaniambia wewe ni yule yule

Kaka ninaamini Mungu ambaye ni Mungu wetu sote alikupa utashi huo kwa sababu. na ni furaha kwa Mungu kama utatumia utashi wako kwa makusudio ya mwenyezi Mungu.

kaka hali huku mtaani sio nzuri kwenye sekta nyingi sana. hapa kwenye ajira ndio ninakosa hata pa luanzia ndugu yangu. wana Jamii forums naombeni kujua uwiano wa retrenchment na new employment kwasasa? majibu mnayo nyie.

kaka yangu nina uhakika una uwezo wa kukaa na mheshimiwa raisi mkanywa kikombe cha kahawa, wakati huo vaa ule utu Mwenyezi Mungu aliokupa wewe, ninaaamini kabisa hiyo nafasi uliyopewa sio kwa bahati mbaya Mungu alikua na makusudio yake na nahisi ndio wakati wake kuitumia.

hali ni MBAYA na ni MBAYA tena sana na inahitaji suluhisho la haraka.

mimi binafsi nashukuru sana kwa miradi hii ya maendeleo inayozinduliwa kila uchao ila kwasasa am sure over 50% ya makampuni Tanzania kwasasa hawalipi mshahara ontime. mimi hapa sijalipwa mshahara wa November hadi leo na ninataabika sana.

hili la kufunga mkanda tunaweza lakini huu mkanda matundu yameisha hadi sehemu ya kutobolea matundu hakuna.

hatuhitaji kuwekewa pesa mfukoni, tunahitaji waajiri wetu wawezeshwe waweze kutulipa. tunahitaji wawekezaji waongeze ajira.

kumbuka tu siku ya hukumu lazima mwenyezi Mungu atakuuliza nafasi aliyokupa uliitumia vipi?

Pole pole ndugu yangu, Tunateseka sana tena sana

kama nimekukosea nisamehe. nakutakia kila la kheri katika kutimiza majukumu yako
Utaambiwa ulikua unapiga dili hela chafu haipo tena mtaani
 
Utaambiwa Miradi ya ujenzi wa reli, madaraja na Bomba la gesi imetengeneza maelfu ya Ajira, kwahiyo subiria zamu yako
 
Hivi mbona sikuhizi simuoni POLEPOLE ? AU amehisi ni mzigo wa kiroba cha misimari?
 
Back
Top Bottom