Naomba kujua ipi njia nzuri ya kununua hisa na kampuni zipi zenye matokeo mazuri

Tembelea website ya DSE Kuna maelezo mazuri utayapata, orodha ya mawakala wanao husika kuuza na kununua hisa utazipata huko. Kuna vitu vinaitwa primary and secondary market. Primary hisa zinauzwa kwa mara ya kwanza kwa wananchi mf hisa za Voda. Baada ya muda uliowekwa kwisha inabidi uende kununua hisa kwenye secondary market DSE kwa kutumia mawakala.

Kwa kipindi hiki hisa zimekuwa ni ngumu sana, MI mwezi huu nilitumiwa dividend kwenye hisa ninazo miliki ni ndogo.

Nakushauri Ununue kwa kutimiza ndoto yako. Kwa issue za hisa nzr nakushauri nenda website ya DSE utakuta thaman ya hisa Utaona hisa zinazopanda na kushuka.
 
Asante sana mkuu,, nimepitia DSE ni kweli hali ya soko la hisa si nzuri sana na hivi kwann makampuni yanayochipukia hayapo DSE...mengi ni wakongwe tu kiasi cha kwamba wanahisa wengi mno unaweza usione faida yako
 
Pana umuhimu wa kupata somo kama walivokushauri weledi wa mambo Mimi nlikurupuka nkanunua hisa za milioni mbili za Voda gawio nmepata Elfu 20+ mpaka nlitamani kukaa chini
Voda duuh,pole mtaalamu mmoja alinashauri kuhusu hisa hizo na Mimi sikujisumbua hata kidogo.
Mbona wenzio tunakula hela kwenye hisa Mara kwa Mara Tena hela Safi.
Ukiwekeza kwenye hisa usiwe na haraka tu Basi.
 
Mkuu, angalau tushitue basi wenzako maana sio siri. Mwenzetu umewekeza wapi hisa ili nasi tuangalie uwezekano wa kuhamia huko...!
 
Back
Top Bottom