Ndugu zangu leo nimekutana na kitu cha ajabu kilicho nistua na kunishangaza sana. Nikiwa katika mishe zangu za kutafuta mkate wa kila siku ndio kilipo tokeza kitu hicho.
Tangu nikiwa mtoto...
Mafao mengi ya wanachama yakilipwa huwa hayalipwi yoote. Unakuta mtu anastahili kulipwa milioni 35. Badala ya kulipwa yoote unalipwa milioni 30. Anaambiwa aandike barua kukubali kulipwa milioni 30...
1.Usiwe mchoyo kulike nyuzi za wenzio
2.Anzisha mada yenye mashiko mfano. Ndoa,Visa na mikasa
3.Gusa maisha ya watu mfano mila na desturi zao, dini, elimu, afya, michezo n.k
4.Udaku(uwe mbele...
Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi...
Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.
Upande wapili...
Mimi ni miongoni niliekuta hii sheria ya wanafunzi wote tuliosoma shule zinazotumia mtaala wa ndani chini ya necta kunyoa nywele kuwa ndogo kabisa, sijajua walitumia sababu zipi hasa kwa...
KAMA ALIKUPA MIMBA, AKAKUTELEKEZEA MTOTO. UNAHAKI YA KUMNYIMA HUYO MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Hivi ndivyo Watibeli tunavyofanya. Hasa mabinti zetu wakifanya zinaa na uchafu...
Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo...
huyu jamaa ni mkazi mwa Mbezi Beach eneo la Makonde Juu /Kipongoso anajulikana kwa jina la ALLuh
na Exuper Kachenje
WAKAZI wa maeneo ya Mwananyamala wilayani Kinondoni jana walimiminika katika...
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji.
Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo.
Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude...
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za Mashariki ya Kati (Middle East) Mzee Ahamed Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamed Rajabu alikuwa kinara wa...
Watu wengi hudhani mafanikio yanapatikana kwa kupiga kelele, kutangaza kila hatua na kueleza kila mipango yao kwa kila mtu. Lakini Uislamu umetufundisha hekima kubwa sana katika kulinda neema na...
Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume, leo Mei 25, 2026, amezungumzia Matukio ya Utekaji na Mauaji akigusia Mauaji ya Mchina...
Mimi ni mmoja wa wananchi wa Kigoma niliyeamua kuvuta umeme nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza kabisa. Nilifanya taratibu zote zinazotakiwa, nikalipia huduma, na juzi tu nikafungiwa mita yangu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 26 Mei, 2026, amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowateua hivi karibuni kuwa Majaji wa...
Askofu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Kilimanjaro Magharibi, ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la KICC, Dr. Glorious Shoo, amekemea vikali matukio ya karibuni ya...