Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana jf, tra waliwahi kuja kufanya tathmini katika biashara zangu wakaniambia nilipe kiasi fulani kama kodi, lakini makadirio hayo kwa sasa naona sipati kitu kabisa, hivyo ninapenda...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Kwa Wale Waliosoma saikolojia watafahamu, Mtu Mwenye huruma hutangazwa na wale aliowahurumia ndio sifa husambaa kote kama habari za mitume na manabii wao hawakujisifu bali matendo yao. hivo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu waheshimiwa katika ule muendelezo wa kujadili agenda muhimu kwa sasa inayolindima nchi nzima hasa kwa waajiriwa woote nchini au wahenga wanavyosema ni moto unaofukuta kwa chini chini..au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kijana mmoja apanda juu ya mnara sijajua kisa nini... Askari wanaangaika kumwokoa. Mtu mmoja Mwanaume mwenyewe umri wa makamo na ambaye hajulikani alipotokea, amesimamisha shughuli za kiuchumi...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Salaam Kama wengi wenu mlivyozoea kijinga kufika mwaka mpya unataka kujifanya umeanza kila kitu wewe ma wishes kibao ma sms kibao ma emoji ndo kama yote, Na nyote mnaoshinda humu mpaka time hiyo...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu mko poa sana wikiend hii. Nakuja na orodha yangu ambayo inazungumzia aina ya makabila Tanzania yanayoongoza kwa kuchangamkia fursa mbali mbali za kimaisha kwa lengo la Kutoka...
10 Reactions
225 Replies
49K Views
Ukifuatilia dhana ya kidunia na kidini utagundua kuna mkanganyiko mkubwa sana juu ya wapi na lini pesa ilianza kutumika.. Mfano katika biblia ukifuatilia historia ya maisha ya yesu kifo chake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu hali yangu imekua ngumu kidogo.Naomba kujuzwa wenyeji wa mikoa ifuatayo kama naweza pata chumba cha umeme cha bei rahisi. BAGAMAYO MAFIA PWANI LINDI Chumba cha umeme cha bei nafuu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna mtu unaweza muuliza kwa nini unasherekea ujio wa mwaka 2019 akashindwa kujibu. Wenzetu wengi wenye akili mwaka mpya huanza na maono mapya,ndoto mpya,utekelezaji mpya,mipango mipya n.k...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekutana na wafanyakazi wa leopard tours na kuongea nao kwa kweli wananyanyasika sana na awana pa kusemea kwasababu anadai serikali yote iko kiganjani mwake, kwahiyo ameamua kufunga mashine ya...
4 Reactions
133 Replies
25K Views
Binafsi tayari nipo kanisani ambapo natarajia kuupokea mwaka nikiwa hapa na siku ya kesho ntakuwa nyumbani pamoja na familia. Embu wewe rafiki tupe code unatarajia kuwa wapi?. Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Usihangaike sana kutafuta maisha mazuri, mwachie aliyekuumba maana yeye ana taarifa zako zote za maisha yako na hata baada ya kifo chako. Acha kusave sana mpk unakonda, kesho yako mwachie yy...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja katika kijiji cha Gionsaria,kaunti ya Kisii Nchini Kenya amefariki dunia baada ya mwanamke mmoja kumbana /kufungia kichwa cha mwanaume huyo katikati ya mapaja. Mkasa huo wa aina...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Tunaishi katika Dunia ambayo kila Siku Maadui zetu wanaongezeka na wengi Wao inafika muda wanatamani hata Wakuue tu ili usiendelee kuwepo Duniani na kuwasumbua au kuwakera ili waendelee kufanya '...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
wakuu,nimejaribu kugoogle ila sijaambulia kitu. je ni nchi gani imekua ya kwanza kuuona 2019?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni vyema kumshukuru mungu aliyeziumba mbingu na nchi! Natumaini Kwa NEEMA ya Mungu tunatarajia kuupokea mwaka mpya baada ya machache tu, Tunaomba Mungu aendelee kutulinda. Jamani wapendwa hii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja kwa moja mpaka Twara,ni hivii kwa sasa KILO moja ya korosho ni sh 700. Wale jamaa wa kangomba nao wamesepa hawataki kuingia hasara mara mbili mbili,sasa kama una kilo zako tano inabidi...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Ujumbe wangu kwa njia hii ya katuni nauwasilisha.
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika mtaa wa Kishiri jijini Mwanza. Watu hao wanaosadikika kuwa ni majambazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…