Nchi gani ya kwanza kusherekea mwaka 2019?

Nchi gani ya kwanza kusherekea mwaka 2019?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,639
wakuu,nimejaribu kugoogle ila sijaambulia kitu.
je ni nchi gani imekua ya kwanza kuuona 2019?
 
Ngoja waje nashani ni kule visiwa vya Greenwich
 
indonesia watakuwa wa kwanza mkuu maana kwao sasa hv ni saa tano na madakika kufikia saa 1 na dk 40 hv watakuwa wanasherekea new year
kwq mujibu wa mimi
 
kama ramani inavyoonyesha, nchi zilizopo upande wa kulia mwishoni GMT +11 ndo zinakuwa za kwanza kuuona 2019 na zilizopo upande wa kushoto bara la america ya kaskazini na kusini zinakuwa za mwisho so sisi tupo katikati. GMT
utc+2_raw_text.png
 
Mashariki kabisa ya Russia inawahi ila magharibi kabisa ya Marekani inachelewa. Dah!
Hivi kutoka alaska kwenda urusi huwa mpaka waje mashariki mwa marekani au wanapiga tu shortcut?
 
kama ramani inavyoonyesha, nchi zilizopo upande wa kulia mwishoni ndo zinakuwa za kwanza kuuona 2019 na zilizopo upande wa kushoto bara la amerIca ya kaskazini na kusini zinakuwa za mwisho so sisi tupo katikati. GMT
utc+2_raw_text.png
kwa hiyo hapo mkuu,Australia na baadhi ya nchi za Asia weshauona mwaka 2019 tayari?
 
Back
Top Bottom