Katika kuupokea mwaka, unatarajia kupokea ukiwa wapi?

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
735
1,208
Binafsi tayari nipo kanisani ambapo natarajia kuupokea mwaka nikiwa hapa na siku ya kesho ntakuwa nyumbani pamoja na familia.

Embu wewe rafiki tupe code unatarajia kuwa wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom