GUMZO LA MWISHO WA MWAKA.

GUMZO LA MWISHO WA MWAKA.

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
134
Reaction score
65
Ni vyema kumshukuru mungu aliyeziumba mbingu na nchi!

Natumaini Kwa NEEMA ya Mungu tunatarajia kuupokea mwaka mpya baada ya machache tu, Tunaomba Mungu aendelee kutulinda.


Jamani wapendwa hii ilitokea baadhi ya maeneo na sasa inatokea baadhi ya maeneo, Ni mwaka huu ambao umekuwa na changamoto nyingi za kilimo, mwazoni mwa mwaka 2018 tulishambuliwa sana na wadudu katika mazao yetu shamban tulijaribu kila namna ilishindikana kuwaangamiza na matokeo yake msimu ukishia hivyo hivyo, aliye bahatika ni Kwa NEEMA tu.

Hivi sasa navyoandika ujumbe huu kuna janga LA panya wanakula mbegu shamban wakiona mbengu imeisha wanakula pia mimea iliyofanikiwa kuota lengo ni kupata kiini cha mbengu, mpka sasa ni mahekari mengi yapo tu watu tumeshindwa kulima na msimu ndio huooooo unatutoroka, tumetumia sumu ya kuulia panya wanakufa lakini hawaishi, jamani Mwenye ujuzi zaidi ya tutumie mbinu gani ili waangamie?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
daa hiyo hatari na mvua hizi za kibaba,?
Yaan we acha tu, makufuri kakataza tuslime mahindi kama zao LA biashara tukawa wagum, nafikiri ndo anatukomesha tujue yeye ni nani!!!!! Lkn hata alizeti anayong'ang'ana tulime nayo yaliwa yaan DU!!!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuriko mashambani.
Alafu ukiwa umewasha kiredio chako cha
mbao tena betri umekopa unasikia hakuna
chakula cha bure. Tumetoka kwenye kiangazi
kikali mala wadudu wanakula mazao sasaivi
mafuriko. Kwa kutafakari tu unapitiwa na
usingizi adi nzi wanaingia mdomoni.
 
Mafuriko mashambani.
Alafu ukiwa umewasha kiredio chako cha
mbao tena betri umekopa unasikia hakuna
chakula cha bure. Tumetoka kwenye kiangazi
kikali mala wadudu wanakula mazao sasaivi
mafuriko. Kwa kutafakari tu unapitiwa na
usingizi adi nzi wanaingia mdomoni.
Du ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom