kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,994
- 2,570
Kijana mmoja apanda juu ya mnara sijajua kisa nini...
Askari wanaangaika kumwokoa.
Askari wanaangaika kumwokoa.
Mtu mmoja Mwanaume mwenyewe umri wa makamo na ambaye hajulikani alipotokea, amesimamisha shughuli za kiuchumi jijini Mwanza Kwa masaa zaidi ya matatu baada ya kupanda kwenye mnara wa simu uliopo karibia na makao makuu ya police jijini humo, lengo la mtu huyo kupanda juu ya mnara huo haikujulikana maana alianza kufanya uharibifu wa vifaa vya mnara huo akiwa juu, na alipotakiwa kushuka aligoma akidai anataka kujiua.
police wa zimamoto walipanda juu ya mnara huo Kwa lengo la kumtoa ila ikashindikana maana alikuwa akipigana nao, umauti wa watu uliacha kazi zao na kuamua kufuatilia mwisho wa sakata hilo ambapo walifanikiwa kumfunga kamba mguuni lakini wakati wakimshusha akawazidi maarifa na kuruka chini, hadi naondoka eneo la tukio mtu huyo alikuwa hoi Sana na wamemkimbiza hospital.
View attachment 351420
Sehemu ya umati wa watu ukishangaa tukio.