Mikoa yenye vyumba vya kupanga vya bei rahisi

Tizeba

Member
Aug 17, 2017
12
5
Wakuu hali yangu imekua ngumu kidogo.Naomba kujuzwa wenyeji wa mikoa ifuatayo kama naweza pata chumba cha umeme cha bei rahisi.

BAGAMAYO

MAFIA

PWANI

LINDI

Chumba cha umeme cha bei nafuu kabisa nitapata kwa sh ngapi.

Nataka nibadili Kambi ya utafutaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ushanufaika na kitambulisho cha magufuli nini,maana alisema unaweza kukitumia popote nchini..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom