Shetemba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 956
- 986
Moja kwa moja mpaka Twara,ni hivii kwa sasa KILO moja ya korosho ni sh 700.
Wale jamaa wa kangomba nao wamesepa hawataki kuingia hasara mara mbili mbili,sasa kama una kilo zako tano inabidi ukaange ule na wanao,la sivyo uingie gharama ya usafiri ukaziuze mnadani,
Usiamini habari za magazeti hali halisi ndiyo hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app